Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

Vyanzo vimeongezeka mapato yanapungua maana yake kuna usimamizi mbovu wa makusanyo.

Hapo makusanyo mengi yanaenda kwenye matumbo ya watu na sio kwenye halmashauri.

Sasa kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake.
 
Sasa kama Ikulu na Airport za Chattle hazina kazi mapato yatatoka wapi?

Watu walikuwa wanafungua biashara wakiamini Mfalme ataendelea kuleta neema sasa hayupo Chattle imebaki yatima.

1645818296853.png
 
Yule jamaa kama Putin. Aliteka dagaa na samaki wanaovuliwa visiwa vya wilaya ya Muleba wauziwe wilaya ya Chato na kulipa ushuru Chato. Lango la kuingia mbuga za Burigi badala kuliweka Muleba au Biharamulo yeye kaliweka Chato yaani ni kama umetoka Moro kwenda Dar badala ya kupitiliza chalinze we unaenda Segera kwanza unapima uzito ndo urudi kuendelea kwenda Dar.
 
nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lkn mapato ndo yamashita km hivyo yanashuka. Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndo hivyo!
Unafiki tu umewajaa huyo mwenyekiti
 
Yule jamaa kama Putin. Aliteka dagaa na samaki wanaovuliwa visiwa vya wilaya ya Muleba wauziwe wilaya ya Chato na kulipa ushuru Chato. Lango la kuingia mbuga za Burigi badala kuliweka Muleba au Biharamulo yeye kaliweka Chato yaani ni kama umetoka Moro kwenda Dar badala ya kupitiliza chalinze we unaenda Segera kwanza unapima uzito ndo urudi kuendelea kwenda Dar.
Aiseeeee !!!
 
Back
Top Bottom