Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
Jiwe kaondoka na vingi mno….
 
Sasa kama Ikulu na Airport za Chattle hazina kazi mapato yatatoka wapi?

Watu walikuwa wanafungua biashara wakiamini Mfalme ataendelea kuleta neema sasa hayupo Chattle imebaki yatima.

View attachment 2131271

Hapa kuna jambo Wananchi wa Tanzania tujifunze na kuzingatia ili lisije kujirudia tena huko mbele kwa wale watakaoiongoza nchi yetu! Rais akichaguliwa ni wa nchi nzima whether anatoka Msoga au Chatto is irrelavant; kupendelea kule wanakotoka ni upofu wa kiuongozi!
 
Hata Dar es Salaam ilianza kama kijiji.

Ulitaka Chato iwe kama New York ndio iombe mkoa?

Wakati Pwani inapewa mkoa kibaha ilikua hovyo kuliko Chato ya sasa lakini sasa Kibaha imechangamka.

Kama watu wanataka mkoa wapewe tu.
Wacha upumbavu mkoa wa Pwani ndo ulimegwa na kutoa Dar! Hata Mchato mwenzenu Makonda alimega Mloganzila kutoka Pwani na kuileta Dar!
 
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
na bado
 
Hapa kuna jambo Wananchi wa Tanzania tujifunze na kuzingatia ili lisije kujirudia tena huko mbele kwa wale watakaoiongoza nchi yetu! Rais akichaguliwa ni wa nchi nzima whether anatoka Msoga au Chatto is irrelavant; kupendelea kule wanakotoka ni upofu wa kiuongozi!

Kwa Katiba hii inayompa Rais sawa na kuwa kama mungu wa dunia?
 
Eti kumbe kuna watu walienda kununua viwanja huko?! [emoji14][emoji14]
 
Sasa kama Ikulu na Airport za Chattle hazina kazi mapato yatatoka wapi?

Watu walikuwa wanafungua biashara wakiamini Mfalme ataendelea kuleta neema sasa hayupo Chattle imebaki yatima.
Hapa kuna jambo Wananchi wa Tanzania tujifunze na kuzingatia ili lisije kujirudia tena huko mbele kwa wale watakaoiongoza nchi yetu! Rais akichaguliwa ni wa nchi nzima whether anatoka Msoga au Chatto is irrelavant; kupendelea kule wanakotoka ni upofu wa kiuongozi!
Magufuli alinajisi kiti cha urais na ile tabia yake ya kupendelea kwao. Sidhani kama kuna Rais aliyelazimisha maendeleo kwao kama Magufuli. Hata Kikwete maendeleo yaliyopatikana mkoa wa Pwani mengi yalikuwa ni matokeo ya kuwa karibu na Dar. Imagine Magu alikuwa na mpango wa kujenga uwanja wa mpira wa kimataifa Chatto!

1645850188495.png
 
Wacha upumbavu mkoa wa Pwani ndo ulimegwa na kutoa Dar! Hata Mchato mwenzenu Makonda alimega Mloganzila kutoka Pwani na kuileta Dar!
Wewe shoga kwanza kasome historia ya uanzishwaji wa mikoa ujue pwani ilianzishwa lini na Dar ilianzishwa lini usikurupukie kujibu wanaume wa wenzako hovyo hovyo.
 
Karibia kila mwezi Chato ilikuwa ikipokea wageni kutoka Dar es salaam na sehemu mbalimbali..
 
Wewe shoga kwanza kasome historia ya uanzishwaji wa mikoa ujue pwani ilianzishwa lini na Dar ilianzishwa lini usikurupukie kujibu wanaume wa wenzako hovyo hovyo.
Shoga babako Dar ilikuwa ndani ya mkoa wa Pwani!
 
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
Na bado. Siku zote watu waliozoea kupendelewa, akiondoka aliyekuwa akiwapendelea, huporomoka sana.

Chato siyo tu haiwezi kuwa mkoa, kama baadhi walivyokuwa wanaota, wapo watakaofikiria aheri iwe tarafa tu, maana uchumi wake utazidi kudorora zaidi na zaidi kwa sababu ulikuwa ucgumi bandia. Na kila aliyewekeza Chato atatafuta namna ya kuondoka.
 
Unauliuza tako la mbuz wakati mbuz mwenyew kabinua mkia juu? Kwani si mpish wa takwimu alizaliwa,kuishi na kufa hapo chato? Sasa mnajiuliza nin? Mambo mengine muwe mnajijibu wenyewe bhana
 
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
Hawa ndio wana taka mkoa. Kata yetu kwa mwezi tuna kusanya zaidi ya hizo za wilaya pendwa.
 
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
Hii ni hujuma! Hatutakubali sisi kama watunza legacy never ever 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom