TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Usifananishe Pwani na upuuzi wa chato,Pwani ilianza kuwa mkoa kabla hata Dar es salaam haijawa mkoa,Halafu Pwani sio Kibaha tu kama Kibaha ilikuwa hovyo sehemu nyingine hazikuwa hovyo kwa wakati huo
Hata Dar es Salaam ilianza kama kijiji.
Ulitaka Chato iwe kama New York ndio iombe mkoa?
Wakati Pwani inapewa mkoa kibaha ilikua hovyo kuliko Chato ya sasa lakini sasa Kibaha imechangamka.
Kama watu wanataka mkoa wapewe tu.