Hata Dar es Salaam ilianza kama kijiji.
Ulitaka Chato iwe kama New York ndio iombe mkoa?
Wakati Pwani inapewa mkoa kibaha ilikua hovyo kuliko Chato ya sasa lakini sasa Kibaha imechangamka.
Kama watu wanataka mkoa wapewe tu.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa kuna wakati Chato itakuwa vichaka??.Ndo mlitaka uwe mkoa huu...histori za madikteta katika sehemu wanapotokea zinafanana mfano Mobutu alitumia nguvu kubwa kupaendeleza kwao madhara yake alipotoka madarakani pakawa kichaka tu
Kha!kha,!, wewe jamaa noma sana.Yule jamaa kama Putin. Aliteka dagaa na samaki wanaovuliwa visiwa vya wilaya ya Muleba wauziwe wilaya ya Chato na kulipa ushuru Chato. Lango la kuingia mbuga za Burigi badala kuliweka Muleba au Biharamulo yeye kaliweka Chato yaani ni kama umetoka Moro kwenda Dar badala ya kupitiliza chalinze we unaenda Segera kwanza unapima uzito ndo urudi kuendelea kwenda Dar.
Acha matusi,kubinua matako ndio nini sasa?!!!.Unauliuza tako la mbuz wakati mbuz mwenyew kabinua mkia juu? Kwani si mpish wa takwimu alizaliwa,kuishi na kufa hapo chato? Sasa mnajiuliza nin? Mambo mengine muwe mnajijibu wenyewe bhana
Enzi hizo na sasa ni tofauti mzee.Hata Dar es Salaam ilianza kama kijiji.
Ulitaka Chato iwe kama New York ndio iombe mkoa?
Wakati Pwani inapewa mkoa kibaha ilikua hovyo kuliko Chato ya sasa lakini sasa Kibaha imechangamka.
Kama watu wanataka mkoa wapewe tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🍺🍺Yule jamaa kama Putin. Aliteka dagaa na samaki wanaovuliwa visiwa vya wilaya ya Muleba wauziwe wilaya ya Chato na kulipa ushuru Chato. Lango la kuingia mbuga za Burigi badala kuliweka Muleba au Biharamulo yeye kaliweka Chato yaani ni kama umetoka Moro kwenda Dar badala ya kupitiliza chalinze we unaenda Segera kwanza unapima uzito ndo urudi kuendelea kwenda Dar.
Hivi matokeo ya Mwaka huu,Chato wametoa namba moja pia?Mapato data zilikuwa zinapikwa
Wanaunda kamati kuchunguza hawakuhudhuria msiba? Khee!😀Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!
Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.
Kamati yaundwa kuchunguza.
Ndio hivyo!
Hakuna enzi hizo na enzi za sasa, mazingira ya Tanzania ni yale yale.Enzi hizo na sasa ni tofauti mzee.
Hivi upo serious kweli??. Yaani Tz ya enzi za Nyerere na TZ ya enzi za Samia ipo sawa?. This is ridiculous.[emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna enzi hizo na enzi za sasa, mazingira ya Tanzania ni yale yale.
We Utafia hapohapo chato Kwa njaa hiyo ya akili uliyonayoKazi kunyooshea watu vidole wakati ukweli unajulikana hii nchi
hela ipo ila usimamizi hamna,watu wanajipgia pesa tu Uzembe na
kukosa uzalendo kwa viongozi waliopo,haya basi mwakan chato mapato yatafka laki 3
rahaaaa eeeeh mnyosheeni vidole mlie zoea,mtu kashapumzika badala mjadili point za msingi
kazi kunyooshea wengne vidole,uzembe uzembe uzembe sio chato tu Nchi nzima mapato yatashuka
na tutakopa mpk tubatzwe majina tukionekana nchi za watu "mtu toka nchi ya wakopaji" Acha nisubri
zangu viza za ukraine labda zitatolewa nijitoseamo vitani nikafie mble huko kuliko kudaiwa na hela enyewe sijawahi pewa.
Kuna siku tutajifunza kitu. Mambo mengi yanafanyika bila kuzingatia vigezo. Matokeo yake tunaishia kupata hasara. Chato iwe fundisho makosa yasirudiwe. Je ni pesa ngapi ilitumika na nguvu kiasi gani ku elevate mji wa Chato? Haikuishia hapo ukapangwa kuwa mkoa kwa sababu hafifu sana. Itakuwa kila mwenye madaraka aanzishe mkoa au sehemu fulani ya nchi ipewe hadhi fulani kwa heshima ya fulani! Hapo tunakwama wala hatujiulizi tunakwama wapi!Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!
Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.
Kamati yaundwa kuchunguza.
Ndio hivyo!
Mapato ya mfanyabiashara mmoja wa kariakoo kwa masaa tu ya sikuMilioni kumi au mia?? Milioni kumi ni kijiji au mtaa??
Usijichekeshe kama shoga.Hivi upo serious kweli??. Yaani Tz ya enzi za Nyerere na TZ ya enzi za Samia ipo sawa?. This is ridiculous.[emoji23][emoji23][emoji23]