Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

Mapato yameshuka nchi nzima.

Hata exports pia.
 
Chato Airport, CRDB bank,Chuo kikuu,Hospitali ya Kanda,Soko la madini,Chuo cha Veta,Shule ya Museveni, Substation kubwa ya Umeme TANESCO, Bandari ya Chato, Uvuvi wa samaki.Stendi ya mabasi,nyumba za wageni ,n.k bado ikakusanya milioni 10 tu??
 
Hapa Tanzania hakunaga uchaguzi ila wanajichaguaga wenyewe ndiyo maana wanajiamuliaga vya kufanya bila kuwashilikisha wananchi
 
Hapa Tanzania hakunaga uchaguzi ila wanajichaguaga wenyewe ndiyo maana wanajiamuliaga vya kufanya bila kuwashilikisha wananchi
Yale maeneo wanayoshinda Chadema huwa Kuna uchaguzi?
 
Duh kwa kisa icho hata hadhi ya kuwa mkoa haustahili tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…