Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Huwa tunawaambia hapa, the two best presidents of our country ni:
• Mwl Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa)
• Mwl John Pombe Magufuli (Baba wa Uchumi)
 
Mbona hakuna tusi au tusi ni kusema bei ya vitu imepanda apunguze au ushamba tu nape na kinana walimwambia magufuri mshamba mbona hawakufungwa samia mdemokrasi ingilia kati wanakugombanisha na wananchi usikubali
 
Mh kuchanga mchezo hata chadema walishindwa kumchangia Lema kulipa madeni yake hadi Bashiru akataka amlipie.
Bashiru yupi mkuu, huyu wa sasa au yule wa kabla ya kujiunga Sukuma gang?
 
Eti bia tamu, wanawake watamu, mke wangu kama ya kulala nipe tamu [emoji23][emoji23]

Nadhani wangempima utimamu wa akili kabla ya hukumu huenda akawa na msongo wa mawazo ulopitiliza, dah ila wabongo sio watu

Nakubaliana na wewe100% huyu si mzima
 
Kufungwa ni haki yake maana amekiri kwa kinywa, japo siipendi ccm lakini kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan hapana ni kosa umemvunjia heshma yeye na sisi wanainchi, hata kama hakuchaguliwa kwa kura katiba imempa hayo mamlaka kisheria, hata kama maisha ni magumu pambana hivyo hivyo sasa huko jela ndio yatakuwa mazuri? mbona kipindi cha Magufuli watu waliuwawa na kunyanganywa fedha zao bank kipindi hicho hali ilikuwa ngumu kuliko hivi sasa hakuliona hilo au kwa kuwa Mama sio Msukuma acheni kumtukana Maza bana au kwa sababu ni mwanamke na ni mpole, acheni kuwatukana viongozi haitakusaidieni kitu bali hali yako itakuwa mbaya zaidi.
 
Pumbavu
 
Huyu kwa kua ni sukuma Gang alipaswa afungwe hata miaka 30 mpuuzi huyu
 
Alitakiwa afungwe miaka 10 kabisa
 
Huyo kapendelewa kwanza Hana sifa za kuwa msanii, msanii gani Hana hata tafsida kwenye wimbo wake? Ajifunze kwa roma
 
Matusi siku hizi yamebadilika nini, yamekuwa mapya eeh...nimesikiliza hadi mwisho sijasikia tusi hata moja angalau kwa yale tuliyoyazoea toka utotoni.
Lakini mtuhumiwa kakiri kosa, wewe unakanusha
 
Msanii hakustahili kifungo.

Mahakama imetumika kumkandamiza.
 
Lakini mtuhumiwa kakiri kosa, wewe unakanusha
Nimewahi kusimamia upande wa utetezi kesi ya msanii mmoja.

Alikuwa anashawishiwa akiri kosa ili asamehewe. Na waliokuwa wanafanya hivyo ni genuine people kabisa lakini ni viatu.

Inahitajika sana kuangalia hizi kesi zinaiingiza nchi kwenye balaa la ukandamizaji uhuru wa kutoa maoni kupitia sanaa.

Ratification ya International Convenant of Economic, Social and Cultural Rights (ICESCR) kwa nchi yetu, inapaswa kuweka bayana uhuru wa Sanaa kwenye sheria na katiba ya nchi.

Msanii kaonewa, watetezi wa haki za binadamu wasimame na huyu msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…