Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Chato: Msanii wa nyimbo za asili aliyemtumkana Rais Samia ahukumiwa miaka 6 jela

Hapa bado producer wa huo mziki nae peleka kortini na director pia apelekwe mahakamani
 
Yeye mwenyewe 'Dawa kali jamaa' kakikri hana akili anao wimbo tu! Dawa kapata dawa yake. Ajue sanaa siyo matusi na Rais wa nchi ni kielelezo namba moja cha Taifa. Lazima aheshimiwe Rais na Amiri Jeshi Mkuu. # Uhuru wa maoni ni maendeleo siyo jinai. 🙏🙏🙏
 
Kuna dogo alimzaba kibao mwinyi na akasamehewa sasa unamfunga mtu kwa mdomo kupiga chenga kweli?
 
Tusi gani?
Sababu ametusiwa usiempenda ila, Tanzania hii hatujafikia utamaduni wala demokrasia ya kuwatukana viongozi wetu namna hii, Na kama Tanzania ingekuwa namna hii tangia zamani, msingeikuta hivi ilivyo! Nadhani wakati umefika sasa wa kubadilisha sheria zetu ili watu wakitiwa hatiani kwa makosa ya namna wafungwe angalau miaka 10, tunataka TZA ibaki kama tulivyoikuta.
 
Sasa Tanzania Kuna kipi Cha maana mpaka useme tusingeikuta hivi
 
Watanzaniia wengi si wastaarabu. Sijui ni elimuuu. Maana mara nyingi matusi yao yanakuja mtu akikosa hoja ya kupinga hoja. Kwa vile kichwani hamna kitu, basi kitu cha haraka ili aonekane amejibu, ni kutukana. Mitandao ya Tanzania nadhani inaongoza duniani kwa matusi. Sitaunga mkono kamwe mtu anayetumia matusi.
Isipokuwa nina matatizo na hukumu iliyotolewa. Mtu aliyemtukana rais- jambo lisilo na impact kwa yeyote- anafungwa miaka sita. Majizi serikalini- jambo lenye madhara hata kusababisha vifo vinavyozuilika- hata akikamatwa, hapewi kifungo hicho!
 
Back
Top Bottom