Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Kwanini wasimchangie mawaziriKutukana kosa lake ni FAINI
Ukishindwa FAINI ndiyo unaenda jela.
Huyo faini ni Milion 10,akipata siku yyt anatoka.
Makamanda mchangieni mtu wenu atoke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wasimchangie mawaziriKutukana kosa lake ni FAINI
Ukishindwa FAINI ndiyo unaenda jela.
Huyo faini ni Milion 10,akipata siku yyt anatoka.
Makamanda mchangieni mtu wenu atoke.
Kumbe huyu ni mtu wa makamanda??Kutukana kosa lake ni FAINI
Ukishindwa FAINI ndiyo unaenda jela.
Huyo faini ni Milion 10,akipata siku yyt anatoka.
Makamanda mchangieni mtu wenu atoke.
Sababu ametusiwa usiempenda ila, Tanzania hii hatujafikia utamaduni wala demokrasia ya kuwatukana viongozi wetu namna hii, Na kama Tanzania ingekuwa namna hii tangia zamani, msingeikuta hivi ilivyo! Nadhani wakati umefika sasa wa kubadilisha sheria zetu ili watu wakitiwa hatiani kwa makosa ya namna wafungwe angalau miaka 10, tunataka TZA ibaki kama tulivyoikuta.Tusi gani?
Sasa Tanzania Kuna kipi Cha maana mpaka useme tusingeikuta hiviSababu ametusiwa usiempenda ila, Tanzania hii hatujafikia utamaduni wala demokrasia ya kuwatukana viongozi wetu namna hii, Na kama Tanzania ingekuwa namna hii tangia zamani, msingeikuta hivi ilivyo! Nadhani wakati umefika sasa wa kubadilisha sheria zetu ili watu wakitiwa hatiani kwa makosa ya namna wafungwe angalau miaka 10, tunataka TZA ibaki kama tulivyoikuta.
Msimbe ni tusiTusi gani?