TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa

> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo - Chato mkoani Geita

======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka msibani katika mtaa wa Msilale Chato mkoani Geita mara baada ya kuaga mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita.

1589746245701.png



Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshma za Mwisho katika jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa aliyefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020, Chato mkoani Geita. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo Chato mkoani Geita.

1589746285283.png

E94EDBB8-9523-472C-AD6E-83ACB913663E.jpeg
 
Why kimya kimya if its true.?

Na kuonyesha huu msiba ni kipindi hiki, salama za kuaga zinatolewa bila jeneza kufunguliwa.

Wangeweka wazi wananchi tumpe pole na rambirambi.

Inasemekana pia kazikwa leo leo.View attachment 1452924
The right to privacy ya Rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe Raisi!.

RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
 
The right to privacy ya rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe laisi!.

RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
Rais mkuu
 
Back
Top Bottom