TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Sio Tumbo moja atakuwa ni ndugu Kwenye ukoo, sister zake wamebaki wawili baada ya mkubwa Monica kufariki. Mama domina na Asteria.walikuwaga wanne.
The right to privacy ya rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe laisi!.

RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jeneza atakua amelinunua mwenyewe lakini kasabau kununua meza jeneza likae vizuri.

Ingekua zamani angeamuru sakafu iwekwe tyres haraka lakini kwa sababubya corona mambo ndio hivo.
Marehemu anastahili heshima, hivyo kama haijatajwa sababu ya kifo, msimsingizie marehemu kuwa ni Corona!.

Kitu kizuri nime kinote kuhusu Chato, wana good class na executive coffins, ila hakuna florists, hivyo hiyo ni fursa.
P
 
Nakubaliana na wewe kabisa ,naweka na msisitizo kabisa Msiba sio Jambo la kitaifa ambalo kila mtu lazima ajue.
Mkuu kumbuka huyu ni Rais, so kila kitu lazima tujue, je watu maarufu kama akina Kikwete, Mkapa na wengine akina sisi tutahudhuriaje ikiwa tutafichwa.?
 
Nilivyoona hilo jina la Buzirayombo nikakumbuka kitabu fulani cha Eric Shigongo yaani alimuelezea Rais wa nchi ya Buzirayombo(nikidhani jina la kutunga kumbe kweli)na kwa namna fulani yanafanana na wasasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shigongo ni mwenyeji wa Huko, maeneo kama Buchosa, Nyang'hwale n.k anayajua vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu G Sam, marehemu uheshimiwe!, kama chanzo cha kifo hakijatajwa naomba tuwe na heshima kwa marehemu!.
P
Pasco, Magufuli alivyo muoga mtu kafa jioni hii na mwili ukawekwa kwenye jeneza fasta. Kesho anapelekwa makaburini asubuhi. Chezea koona mkuu! Ile safari ya kutoka Dar hadi Chato kujilinda haina masihara.
 
The right to privacy ya rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe laisi!.

RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
Rais ni kaka yake marehemu na shuhuli nzima amehost yeye.
 
Mkuu G Sam, marehemu uheshimiwe!, kama chanzo cha kifo hakijatajwa naomba tuwe na heshima kwa marehemu!.
P

Mkuu P,
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Rais mwenyewe kasema mtoto wake wa kuzaa ameugua Coona kajifukiza, kala malimau na Tangawezi Sasa anapiga push-ups!!!
Hii maanake Coona ilishabisha hodi kwene familia na kawaida ya Koona inashambulia wazee zaidi kuliko Vijana....!!
 
Back
Top Bottom