TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

TANZIA Chato: Rais Magufuli afiwa na dada yake leo (17 Mei 2020)

Hii kitu sija iamini hadi nuda huu
Mkuu P,
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Rais mwenyewe kasema mtoto wake wa kuzaa ameugua Coona kajifukiza, kala malimau na Tangawezi Sasa anapiga push-ups!!!
Hii maanake Coona ilishabisha hodi kwene familia na kawaida ya Koona inashambulia wazee zaidi kuliko Vijana....!!
 
Kimzaha mzaha tutapigiwa wimbo wa taifa mchana.
Haka kaugonjwa kadogo endeleeni kukadharau.
 
The right to privacy ya rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe laisi!.

RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
Kwa hiyo huyu ni dada wa ukoo tu (extended family member)?
 
Tuache unafiki, kwa hiyo siku za nyuma walipokuwa wanatujulisha ilikuwa ni jambo la kitaifa?

Yeye kama kiongozi wa kitaifa anapopatwa na matatizo ni uungwana kufahamishana. Mie balozi wa nyumba 10,nikifiwa watu wangu wa mtaa wasijulishwe. Ndiyo maana huko vijijini kengele hugongwa kutoa taarifa.

Utanzania wetu usipotee kisa wewe ni praise team tu.
Nakubaliana na wewe kabisa ,naweka na msisitizo kabisa Msiba sio Jambo la kitaifa ambalo kila mtu lazima ajue.

Sent using iphone pro max
 
Zile grand Malta za Madagascar zilikuwa zao mbona hamjiulizi kwanini kajiisolate mda mrefu

MONEY STOP NONSENSE
 
Back
Top Bottom