"tyres" au "tiles"??Jeneza atakua amelinunua mwenyewe lakini kasabau kununua meza jeneza likae vizuri.
Ingekua zamani angeamuru sakafu iwekwe tyres haraka lakini kwa sababubya corona mambo ndio hivo.
The right to privacy ya rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe laisi!.
RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
Marehemu anastahili heshima, hivyo kama haijatajwa sababu ya kifo, msimsingizie marehemu kuwa ni Corona!.Jeneza atakua amelinunua mwenyewe lakini kasabau kununua meza jeneza likae vizuri.
Ingekua zamani angeamuru sakafu iwekwe tyres haraka lakini kwa sababubya corona mambo ndio hivo.
Sadaka inaanzia nyumbani; unamwaga mipesa wakati kwa dada hata sakafu chini hakunaView attachment 1452932View attachment 1452933
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbuka huyu ni Rais, so kila kitu lazima tujue, je watu maarufu kama akina Kikwete, Mkapa na wengine akina sisi tutahudhuriaje ikiwa tutafichwa.?Nakubaliana na wewe kabisa ,naweka na msisitizo kabisa Msiba sio Jambo la kitaifa ambalo kila mtu lazima ajue.
Marehemu anastahili heshima, hivyo kama haijatajwa sababu ya kifo, msimsingizie marehemu kuwa ni Corona!.
Kitu kizuri nime kinote kuhusu Chato, wana good class na executive coffins, ila hakuna florists, hivyo hiyo ni fursa.
P
dah.. asante mkuu😂Pole!.
P
Shigongo ni mwenyeji wa Huko, maeneo kama Buchosa, Nyang'hwale n.k anayajua vizuriNilivyoona hilo jina la Buzirayombo nikakumbuka kitabu fulani cha Eric Shigongo yaani alimuelezea Rais wa nchi ya Buzirayombo(nikidhani jina la kutunga kumbe kweli)na kwa namna fulani yanafanana na wasasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni dada mbona majina hayafanani
MONEY STOP NONSENSE
Kwani wewe unasemaje mkuu😂😂😂
Pasco, Magufuli alivyo muoga mtu kafa jioni hii na mwili ukawekwa kwenye jeneza fasta. Kesho anapelekwa makaburini asubuhi. Chezea koona mkuu! Ile safari ya kutoka Dar hadi Chato kujilinda haina masihara.Mkuu G Sam, marehemu uheshimiwe!, kama chanzo cha kifo hakijatajwa naomba tuwe na heshima kwa marehemu!.
P
ajue tu kuvaa mask kwenye mkusanyiko ni muhimu na sio udhaifuSadaka inaanzia nyumbani; unamwaga mipesa wakati kwa dada hata sakafu chini hakunaView attachment 1452932View attachment 1452933
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais ni kaka yake marehemu na shuhuli nzima amehost yeye.The right to privacy ya rais Magufuli na familia yake uheshimiwe!. Sisi wa Africa na extended families zetu, nilipokuwa RTD, kila siku napata wageni toka kijijini kwetu, wameelekezwa mkifika mjini, yule Mtangazaji Pasco Mayalla wa RTD ni Kaka yenu!. Just imagine ndio nije niwe laisi!.
RIP Gaudensia Felician Marko Msangwa.
P
hivi ndio ana maana ya rais.!? wasukuma bana😂Rais mkuu
Mkuu G Sam, marehemu uheshimiwe!, kama chanzo cha kifo hakijatajwa naomba tuwe na heshima kwa marehemu!.
P