Chato: Rais Samia kuongoza kumbukizi mwaka mmoja kifo cha Magufuli

Maamuzi mabaya yasiyo na tija kwa taifa. Garama ,risk ajali misafara ; mileage magari lukuki ya umma.
Pangefanyika uwakilishi wa wachache, kwa protocol hiyo serikali nzima na mihimili yake inahamia Chato.
 
Na ile ya kumpongeza yeye vipi maana ilipewa uzito mkubwa kuliko hii iliyompandisha status, au ni ile ya wakatoliki wa Mwanza imesaidia
 
As if Rais aliyekufa ni Nyerere na Magufuli pekee. This is double standard na watu wa Kusini wamekaa kifala mnoe.
Naona familia ya JPM imeandaa hao viongozi ni kama wanaenda kushiriki,na kuwaunga mkono familia.Sasa kwa mkapa kama familia haawandai kumbukizi watafanyaje?
 
Unaweweseka sana, na bado.
 
KKT na Magufuli wapi na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…