johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sukuma gang mwisho wenu umefika3.24B Ndiyo imefanya yote hayo!!?
Hii habari imeua legacy ya Mwendawazimu.3.24B Ndiyo imefanya yote hayo!!?
Shida ya hawa viumbe hawana aibu kabisa kabisa.Sukuma gang mwisho wenu umefika
Timu gaidi wako bize kupanda ndege za MagufuliHii habari imeua legacy ya Mwendawazimu.
Chato ilihitaji madarasa Kichaa akajenga uwanja wa Ndege.
Magufuli mshamba tu na mpumbavu kama wewe, Ndege anazitoa wapi, kama ni zake wape wanawe wachezee. Bashite umenyimwa akili umejaaliwa makalio.Timu gaidi wako bize kupanda ndege za Magufuli
Wahi lindo kwa ZZK!Siyo habari hii
Sukuma GANG wanafanywa vibaya na kibabe. Kauli ya usaliti hii kuwa SHUJAA haikufanya kitu Chato..πππMbunge wa jimbo la Chato mh Kalemani amesema hiyo haijawahi kutokea tangu kuasisiwa kwa Wilaya hiyo na kwamba Wanamuunga mkono Rais Samia kwa 100%
Zanzibar ni nchi.
Chato ni wilaya!
Unaongea km mjinga vile , so dar iliitaji stendi bora ya mikoani ila JK akajenga barabara za mtumba sio ? kuna muda ccm inawapumbaza akili kbsHii habari imeua legacy ya Mwendawazimu.
Chato ilihitaji madarasa Kichaa akajenga uwanja wa Ndege.
Mkuu wewe ukipewa mil 3200 huwezi jenga vyumba 188 vya madarasa?3.24B Ndiyo imefanya yote hayo!!?
Zanzibar ni NCHI mzee?? Pamoja na udogo wa eneo ila ni NCHI. ingekuwa hivyo TABORA wangepewa pesa nyingi zaidi ya mikoa yote TZZanzibar wamepewa 230 billion !.