Chato wamshukuru Rais Samia kwa kuwapa Tsh 3.24 bilioni walizojengea Shule 13 Mpya, Madarasa 188 na Matundu ya Choo ya kutosha

Geita idadi ya watu 1.7 million 15 billion
Zanzibar idadi 1.5 million 230 billion
Zanzibar ukubwa wa eneo 1.666 km
Geita ukubwa wa eneo 20.054 km

Yohana mbatizaji kwa mgao huu wa fedha za mkopo,Mkoa wa Geita wanaambulia 15 billion huku eneo jingine linalokaribiana ukubwa na idadi ya watu likipata 230 billion.

Hii si sawa pengine ifike wakati Katiba yetu iangaliwe upya kuondoa haya makando kando.
Iliposemwa Katiba mpya waliziba masikio, kazi iendelee
 
Chato idadi ya watu 360,000 = 3.2 billion
Zanzibar idadi ya watu 1.5 mil = 230 billion.

Usijitoe ufahamu hii ni hesabu ya darasa la 3 A.

Mama anaupiga mwingi.
Ni kweli hii? hizo number duh
 
Wakazi wa wilaya ya Chato wamemshukuru sana Rais Samia kwa kuwapatia jumla ya tsh 3.24 bilioni walizotumia kujenga Shule mpya 13 za sekondari, Madarasa 188 na Matundu ya Choo ya kutosha.

Mbunge wa jimbo la Chato mh Kalemani amesema hiyo haijawahi kutokea tangu kuasisiwa kwa Wilaya hiyo na kwamba Wanamuunga mkono Rais Samia kwa 100%

Source: Star tv habari
Wawashukuru walipa kodi siyo SSH!! Hizo pesa siyo za SSH!! nj za watanzania wote!!
 
Hahaha afu muda mfupi

Huyo anataka mkoa na hawapati
Inaudhi sana hawa viumbe, kama ni kushukuru huyo alopewa jukumu la kusimamia/rais ndiye anatakiwa kushukuru kwasababu hakuombwa bali yeye ndiye aliyeomba aoeww kazi

Kazi sana hawa Kenge.
 
Wakazi wa wilaya ya Chato wamemshukuru sana Rais Samia kwa kuwapatia jumla ya tsh 3.24 bilioni walizotumia kujenga Shule mpya 13 za sekondari, Madarasa 188 na Matundu ya Choo ya kutosha.

Mbunge wa jimbo la Chato mh Kalemani amesema hiyo haijawahi kutokea tangu kuasisiwa kwa Wilaya hiyo na kwamba Wanamuunga mkono Rais Samia kwa 100%

Source: Star tv habari
Nchi ina mikoa 31 fedha ya mkopo ni 1.3 trillion. Mgawanyo sahii ilikuwa kila mkoa upate 40+ billion. Zanzibar wamechukua fedha za mikoa 5 ikiwa idadi yao ya watu na eneo haizidi hata wilaya ya Ikungi.

Hao wanaoshukuru ni kuwa hawajui hesabu.
 
Geita idadi ya watu 1.7 million 15 billion
Zanzibar idadi 1.5 million 230 billion
Zanzibar ukubwa wa eneo 1.666 km
Geita ukubwa wa eneo 20.054 km

Yohana mbatizaji kwa mgao huu wa fedha za mkopo,Mkoa wa Geita wanaambulia 15 billion huku eneo jingine linalokaribiana ukubwa na idadi ya watu likipata 230 billion.

Hii si sawa pengine ifike wakati Katiba yetu iangaliwe upya kuondoa haya makando kando.
Zanzibar ni nchi.

Walitakiwa wapate 50% ya fedha zote sema wanatuhurumia tu!
 
Geita idadi ya watu 1.7 million 15 billion
Zanzibar idadi 1.5 million 230 billion
Zanzibar ukubwa wa eneo 1.666 km
Geita ukubwa wa eneo 20.054 km

Yohana mbatizaji kwa mgao huu wa fedha za mkopo,Mkoa wa Geita wanaambulia 15 billion huku eneo jingine linalokaribiana ukubwa na idadi ya watu likipata 230 billion.

Hii si sawa pengine ifike wakati Katiba yetu iangaliwe upya kuondoa haya makando kando.
Kama ni hivyo Tabora ilitakiwa ipewe nyingi zaidi, kwanini iwe Chato na si Sumbawanga, Kigoma, Shinyanga ama Mtwara ?
Tuache unafiki pakijengwa popote pajengwe tu ni Tanzania

Kama inakuwa tabu sana basi tuwaachie waZanzibari Nchi yao kwanini tunawang'ang'ania au ndio yale maneno ya mh Mnyaluko ?
 
Nchi ina mikoa 31 fedha ya mkopo ni 1.3 trillion. Mgawanyo sahii ilikuwa kila mkoa upate 40+ billion. Zanzibar wamechukua fedha za mikoa 5 ikiwa idadi yao ya watu na eneo haizidi hata wilaya ya Ikungi.

Hao wanaoshukuru ni kuwa hawajui hesabu.
Unaelewa maana ya nchi lakini.

Chaggaland walikuwa kanchi wakauza utaifa wao na kuwa mkoa.

Halikadhalika Kigoma na Mafia ambayo ikawa wilaya kabisa.

Zanzibar walikuwa akili kubwa!
 
Endelea kumwabudu Mbowe huyo gaidi yako makengeza yuko sero akilala na mavi matakoni maana najua hatawazi! Mjinga wewe!
Magufuli mshamba tu na mpumbavu kama wewe, Ndege anazitoa wapi, kama ni zake wape wanawe wachezee. Bashite umenyimwa akili umejaaliwa makalio.
 
Unaelewa maana ya nchi lakini.

Chaggaland walikuwa kanchi wakauza utaifa wao na kuwa mkoa.

Halikadhalika Kigoma na Mafia ambayo ikawa wilaya kabisa.

Zanzibar walikuwa akili kubwa!
Zanzibar ni mkoa uliopewa hadhi ya kuwa wizara inayojitegemea ndio maana Rais wake akija kwenye baraza la mawaziri anakuwa mjumbe wa kawaida hana tofauti na Waziri wa mazingira ndani ya vikao vya baraza la mawaziri.
 
Zanzibar ni NCHI mzee?? Pamoja na udogo wa eneo ila ni NCHI. ingekuwa hivyo TABORA wangepewa pesa nyingi zaidi ya mikoa yote TZ
Inshu sio eneo tu , ila ni eneo + population , hiyo ni factor muhimu sn
 
Zanzibar ni mkoa uliopewa hadhi ya kuwa wizara inayojitegemea ndio maana Rais wake akija kwenye baraza la mawaziri anakuwa mjumbe wa kawaida hana tofauti na Waziri wa mazingira ndani ya vikao vya baraza la mawaziri.
Sasa kama wizara inapewa fedha nyingi kuliko mkoa kuna ubaya gani?
 
Back
Top Bottom