Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

Aisee

Sent from my HTC U12 life using JamiiForums mobile app
 
Kwenye ramani hii naomba kujua
Chato International Airport
Magufuli Stadium

 
😂 😂 😂
 
Nashangaa huo Uwanja wa Chato walioutumia Viongozi wetu kutua Chato kwenye Google Map hauonekani wala nyumbani kwa Mpendwa wetu

Lakini Star TV wamenifurahisha leo wakimnukuu Mama akisema miradi yote iliyo ndani ya Ilani ni lazima imaliziwe, kina Nyanda wameiainisha ni ile ya kwenye Ilani sio ile iliyopendekezwa kwa maslahi binafsi au matamko
Hapo tunaenda sawa sasa
 
Hata jiwe anayo PhD wakati hata lugha yeyote hajui kiufasaha zaidi ya Kisukuma.
Yani haya maamuzi yalifanywa na PhD. Holder wawili..
Mungu turehemu hakika mwendaZake alituchezea akili.
 
AKIWA RUVUMA ALIWAHI AGIZA HALMASHAURI ZOTE ZIPANDE MIANZI,ETI NI VIVUTIO NA VINAONGEZA RUTUBA MASHAMBANI.PhD Ndumbaro
 
AKIWA RUVUMA ALIWAHI AGIZA HALMASHAURI ZOTE ZIPANDE MIANZI,ETI NI VIVUTIO NA VINAONGEZA RUTUBA MASHAMBANI.PhD Ndumbaro
Ndumbaro mtupu sana upstairs basi tu sijui walifahamiana vipi na Mwendazake. Hastahiki hata kuwa Deputy Minister
 
Miaka yote hiyo tangu Uhuru Chato haikuonekana ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…