Wanasumbuliwa na ugonjwa wao wa kibaguzi tu, hakuna lolote la maana Chato. Historia itamuhukumu Magufuli.Kwanini isiwe wilaya ya Serengeti, Bariadi au Musoma.
Hehhh na Taj Mahal imehamishiwa Chato? Pelekeni na Big Ben na Postal Tower ChatoHakuna haja ya kwenda india tena nikivyosikia habari.
Source: BBC & CNN
Magereza ya kisasa na mochwari ya kisasaWaziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa....
Labda wazungu wakafanye utalii wa Punda.Watadubiri sana kuweza kumushawishi muzungu kwenda huko
Sasa kilichokuchekesha ni nini kama siyo umbea?eti chato kuna vivutio vingi vya utalii ikiwepo utalii wa maji na utalii wa mashamba ya miti pia Chato kuna amani na utulivu sana kitu ambacho kinawavutia sana watalii [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unategemea kuna siku Burigi itakuwa kama Serengeti?Hata mbuyu ulianza kama uyoga!!
Serengeti, Ngorongoro, mikumi na manyara hivi zilianzaje mkuu?
Kusema tu hakumzuii mtu kifanya yake mzee bora mpeleke wazi kuwa kuanzia sasa kila urais uwe wa mzunguko kutoka kila mkoa kwa awamu moja atakayeshindwa kuendeleza mkoa wake basi.Kwa yanayoendelea chato ili Magufuli aeleweke anapaswa kupeleka miradi mikubwa pia kwa watangulizi wake tofauti na hapo dhana ya upendeleo itapata nguvu na kuwapa cha kusema wenye nia ovu.
Serengeti iko kanda ya ziwa mkoa wa Mara labda sema Ngorongoro.Serengeti iko northen circuit.
Gbadolite DRCNdoto hizo.akiondoka madarakani miundombinu itabaki kuwa maskani ya popo na panya.
Dr Kigwangalla ni bora kuliko Ndumbaro japokuwa wote wako Mapaka FC!eti chato kuna vivutio vingi vya utalii ikiwepo utalii wa maji na utalii wa mashamba ya miti pia Chato kuna amani na utulivu sana kitu ambacho kinawavutia sana watalii 🤣 🤣 🤣
nyau fc hoyeeeDr Kigwangalla ni bora kuliko Ndumbaro japokuwa wote wako Mapaka FC!