Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

Dr Ndumbaro, tangazo hilo la kufanya Chato kituo cha utalii liendane na kujenga ofisi kubwa hapo ya Kanda ya ziwa ya TTB/TANAPA kutangaza utalii. Hapo utakuwa umeweka uendelevu wa kivutio hicho. Hili ni muhimu mno.
Unaishi wapi? Ofisi zimeshazinduliwa tayari!
 
Anaongea kwa aibu sana. Hawa wanajipendekeza tu, si kila kitu wanatumwa na mkuu.
 
Nchi ya kishenzi, dawa ni kuvibooa vyote muda ukifika
 
Ni maajabu!! Mwili wangu wote ukiwa ndio hiyo ambapo hata wewe kwayo ulitoka, si ni hataree mkuu,

Pili, Acha kumdhalilisha mamayo, dadayo, mkeooo!!

Wenzio hatupati tabu kuwafahamu wajinga, Wewe ni bonge la mjinga, mjinga huamini ktk matusi!!

Acha kutukana
 
Ila daaa... Yote kheri ngoja na mimi niwe rais ...

Kigambon ntaifanya iwe paris ndogo .
 
Haki hii nchi tumelaaniwa! Haya majitu yanayojifanya yamesoma kumbe utopolo mtupu! Yaani huyu mpumbavu anataka kutuaminisha kwamba Chato kuna wanyama wengi kuliko Serengeti? Ina maana ukweli nzuri za ziwani ziko Chato na siyo Busega, Bunda na Musoma? Ina maana maana watalii wanataka utalii kwenye misitu ya kupandwa na siyo misitu asilia? Nimeamini Ndumbaro ni mpuuzi na umbwa kama umbwa zingine!!
 
Msamehe tu huyu waziri, anatekeleza maagizo ya mkuu...
 
THE NEW KINGDOM
 
mamako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…