Chato yatangazwa kuwa kitovu cha Utalii Kanda ya Ziwa

Kwa yanayoendelea Chato ili Magufuli aeleweke anapaswa kupeleka miradi mikubwa pia kwa watangulizi wake tofauti na hapo dhana ya upendeleo itapata nguvu na kuwapa cha kusema wenye nia ovu.
Kwanini hawakupeleka wenyewe?
 
Mmmm! Let us wait to see what will happen after 5 years. Will this tempo continue?
 
Ni hatari
 
kusaidia huku kunafanya watu tuwe tuna ramba miguu ya wakubwa lol huyu naye n professa kaz ipo!!!!
 
Kuna wazungu wengi wanakuja kwaajili ya fukwe za bahari. Hili eneo lingetakiwa kuendelezwa livutie zaidi.
 
Chato ni bab kubwa, yaani unaambiwa hospitali ya Chato Ina hadhi ya juu kuliko Bugando.

Ivi hata unajua kama bugando n private hospital au hujui???


Kwaiyo bugando ndo unaona babukubwa??? Huna takwimu

Tembelea mkapa hosptal dodoma
Mlogazila pwan
Mhimbili dar
 
Now it`s chatoz time, ila kiukweli tanzania tukiwa na vitovu kama hivi me huwa navipenda kweli
 
Ivi hata unajua kama bugando n private hospital au hujui???


Kwaiyo bugando ndo unaona babukubwa??? Huna takwimu

Tembelea mkapa hosptal dodoma
Mlogazila pwan
Mhimbili dar
sio private ni joint venture ya serikali na kanisa la katoliki
then hajasema kua bugando ndo kubwa tz ila kwa kanda ya ziwa ndo hospitali kubwa na tena ni ya rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…