Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuwa kitaanza oparesheni maalum ijulikanayo kama C4C Tusonge Mbele kuanzia Mei 30, 2025 jijini Mwanza, kwa lengo la kuwafikia wananchi wa mikoa yote ya Tanzania ndani ya siku 16 kwa kutumia usafiri wa helikopta (chopa).
Tangazo hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, Jumatano Mei 21, 2025 wakati wa mkutano mkubwa wa mapokezi ya wanachama wapya wa chama hicho, uliofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Tunaenda kuzindua oparesheni ya chopa ya siku 16, usiku na mchana, kupeleka neno la matumaini kwa Watanzania. Tunataka kuwaambia msihofu, sauti zenu zinasikika na wapo watu waliodhamiria kuzibeba kwa gharama yoyote,” amesema Mwalimu.