PreGE2025 CHAUMA Tunaenda kuzindua oparesheni ya chopa siku 16, usiku na mchana

PreGE2025 CHAUMA Tunaenda kuzindua oparesheni ya chopa siku 16, usiku na mchana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Chopa iliwahi hata kuruka ikiwa na kiongozi wa chama kweli?
CCM wenyewe ili wapate watu wanajaribu kutumia wasanii labda hili tawi lao shikizi waongozane na wasanii ndii watu watajaa ila kwenda kuona wasanii.
 
Sisi tushazoea ilipo Chaumma ubwabwa aka kipunga kipo sasa leo hii mnatuletea helkopta tule upepo au?

Alafu huyu Rungwe nae kampeni za miaka ile tulikua tunakula nae wali maharage siku hizi nae ana kijisahani chake cha ubwabwa na makange kayatoa wapi makange yule
 
Back
Top Bottom