PreGE2025 CHAUMA Tunaenda kuzindua oparesheni ya chopa siku 16, usiku na mchana

PreGE2025 CHAUMA Tunaenda kuzindua oparesheni ya chopa siku 16, usiku na mchana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
IMG-20250521-WA0018.jpg
 
Hizo ndio pesa Lisu alidai zimeingizwa Chadema kutoka nchi ya Abd ili kuwavuruga.

Vv
 
Tatizo Lisu na Heche walichukua chama kwa kutukana mwenye pesa na team Mbowe yenye pesa ambao wana pesa kiasi kuwa ruzuku na tonetone kwao ujinga mtupu pesa ndogo mno

Walikuwa wakiendesha CHADEMA kwa pesa zao binafsi za mifukoni iwepo ruzuku au isiwepo

Matajiri wenye pesa wamehamia CHAUMMA na pesa zao chama kisicho na ruzuku hata mia moja

Wamehamia na utajiri wao wamemwachia Lisu CHADEMA ahangaike na maskini wenzie na tonetone zake za kutembeza bakuli kwa maskini wamchangie

Hizo gari ni brand new sio za mitumba kama za CHADEMA zilizozeeka
 
Mmeshindwa uenyekiti wa chama Leo mnataka urais wa nchi. Kwakweli mnachekesha
Ila we jamaa una utoto sana sasa uenyekiti wa chama kitu gani? Kama ni issue mchomoeni lissu Ukonga basi!! Una tabia za kishoga sana wewe mtoto.
 
Chadema ni hatari ,kwa kauli moja nchi inatumia mabilioni ya pesa bila sababu,miradi ya watu ndani ya ccm inazidi kufa
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuwa kitaanza oparesheni maalum ijulikanayo kama C4C Tusonge Mbele kuanzia Mei 30, 2025 jijini Mwanza, kwa lengo la kuwafikia wananchi wa mikoa yote ya Tanzania ndani ya siku 16 kwa kutumia usafiri wa helikopta (chopa).

Tangazo hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, Jumatano Mei 21, 2025 wakati wa mkutano mkubwa wa mapokezi ya wanachama wapya wa chama hicho, uliofanyika katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“Tunaenda kuzindua oparesheni ya chopa ya siku 16, usiku na mchana, kupeleka neno la matumaini kwa Watanzania. Tunataka kuwaambia msihofu, sauti zenu zinasikika na wapo watu waliodhamiria kuzibeba kwa gharama yoyote,” amesema Mwalimu.

Mafanikio yanakuja katika muda ambao haukutegemea,mzee wa ubwabwa anaenda kuwa bilionea.Serikali bwana
 
Tatizo Lisu na Heche walichukua chama kwa kutukana mwenye pesa na team Mbowe yenye pesa ambao wana pesa kiasi kuwa ruzuku na tonetone kwao ujinga mtupu pesa ndogo mno

Walikuwa wakiendesha CHADEMA kwa pesa zao binafsi za mifukoni iwepo ruzuku au isiwepo

Matajiri wenye pesa wamehamia CHAUMMA na pesa zao chama kisicho na ruzuku hata mia moja

Wamehamia na utajiri wao wamemwachia Lisu CHADEMA ahangaike na maskini wenzie na tonetone zake za kutembeza bakuli kwa maskini wamchangie

Hizo gari ni brand new sio za mitumba kama za CHADEMA zilizozeeka
Mpaka sasa hivi chadema haina damage, kwa kuondokewa na matapeli kama sio majoka
 
Mpaka sasa hivi chadema haina damage, kwa kuondokewa na matapeli kama sio majoka
Damage ipo

Mbona Lisu akisalimiana na jaji mkuu wa Kenya mstaafu Maraga alimuuliza Lisu Mbona Mbowe sijamuona ? Mbowe ana ndugu wa familia yake Kisiii Kenya
Hata akipata changamoto Tanzania alikuwa akikimbilia Kisii Kenya kwa ndugu upande wa mama yake

Na huyo jaji mkuu mstaafu alitarajia atamuona Mbowe wana undugu kiasi fulani Na Mbowe upande wa mama yake Mbowe

Lisu akasema sijui kwa nini hajaja sina simu gerezani
 
Propaganda Mbowe ana undugu na Jaji mstaafu wa Kenya mnaonaga watu wajinga sana
 
Propaganda Mbowe ana undugu na Jaji mstaafu wa Kenya mnaonaga watu wajinga sana
Anaye huyo Jaji mkuu mstaafu wa Kenya Maraga aliyeruhusiwa kuhudhuria kesi ya Lisu wana undugu na Mbowe kupitia mama yake na alikuja kama mgeni wa Mbowe sio wa Lisu
 
Kuiua chadema kwa mbinu za kizamani hizi sio rahisi mzee ujinga wenu mtabaki nao wenyewe
hakuna anayeua chadema ila kitakachotekea ni upinzani usio imara, maana utakuwa umegawanyika, ACT kivyake, CHADEMA kivyake, alafu hapa ni mwenye nguvu mpishe, ccm inaendelea kuwadekeria tuu kwa mbaliii, worse eneugh ni pale chama kitakuwa hakina pesa ya kuimarisha ofisi za matawi, wilaya, mikoa.
 
Damage ipo

Mbona Lisu akisalimiana na jaji mkuu wa Kenya mstaafu Maraga alimuuliza Lisu Mbona Mbowe sijamuona ? Mbowe ana ndugu wa familia yake Kisiii Kenya
Hata akipata changamoto Tanzania alikuwa akikimbilia Kisii Kenya kwa ndugu upande wa mama yake

Na huyo jaji mkuu mstaafu alitarajia atamuona Mbowe wana undugu kiasi fulani Na Mbowe upande wa mama yake Mbowe

Lisu akasema sijui kwa nini hajaja sina simu gerezani
Hata leo mbowe aingie chauma, afanye mikutano kwa SGR , hakuna namna yoyote ile inaweza kuishusha chadema , hii ni dude kubwa sana, na mbaya zaidi kimeishakua chama cha watanzania ,hizi blabla watu walishazichoka mda mrefu.

Wewe unafikili kwa ni ACT bara imedumaa, hii ni kutokana na watz kutilia shaka moja ya viongozi wake, sembuse hii ya hawa waliotoka chauma.

Salum mwalim akiwa Mgombea Mwenza wa urais ,popote alipopita alipata watu kawaida sana tena kwa heshima ya chadema, leo asitegemee chochote, sasa ccm watavaa sale na kujongea kwenye baadhi ya mikutano.

Hii move Stelling, kaisha kufa zamani
 
Hoi taabani.

Hakika watanganyika wa sasa sio wa 1970.

Watu wamerudi drawing board hawajaamini macho yao.
 
Back
Top Bottom