Sisi tushazoea ilipo Chaumma ubwabwa aka kipunga kipo sasa leo hii mnatuletea helkopta tule upepo au?
Alafu huyu Rungwe nae kampeni za miaka ile tulikua tunakula nae wali maharage siku hizi nae ana kijisahani chake cha ubwabwa na makange kayatoa wapi makange yule