Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
MWALIMU NYERERE ALIPIGANIA SANA UHURU WA HILI TAIFA.

INASIKITISHA SANA KAMA WATU WENYEWE NDIO HAWA.
 
Kumbe hamna sera mnaabudu mtu? Mkishindwa kubali matokeo huo ndio uungwana!
 
Hiki ndio chama wakijiandika humu wanaenda kujisajiri, mara wakazuiwa.

Cha akina nani?

Waje humu wapate wa kufanya nao kazi haswa Chadema wa humu wanatafuta pa kwenda šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜€
Ichi kipo kimesajiliwa na ni cha Mda , kipo chini ya Mwenyekiti Mzee Hashim Rungwe. Mkuu
 
Hivi kuanzisha chama cha siasa ni vigumu sana kama ilivyo vigumu kupita kwenye tundu la sindano?

If is'nt, why Bin Mugwayi asisajili chama chake sasa, mbona ana wafuasi kibao?
 
MWALIMU NYERERE ALIPIGANIA SANA UHURU WA HILI TAIFA.

INASIKITISHA SANA KAMA WATU WENYEWE NDIO HAWA.
Sio Nyerere peke yake ,nyuma yake alikua na watu imara na wasio yumba ,katika kizazi kile,

Leo kwetu vijana wanajibandika jina lake wanamtaja,nyuma ya pazia weupe kichwani kama karatasi, wanaamini katika uchawa.
 
 
Hivi kuanzisha chama cha siasa ni vigumu sana kama ilivyo vigumu kupita kwenye tundu la sindano?

If is'nt, why Bin Mugwayi asisajili chama chake sasa, mbona ana wafuasi kibao?
Ukisikia ujinga ndo huu why anzisha chama cha siasa wakati vipo vyama kibao, kwa sasa ukiona mtu anakimbizana kuanzisha chama cha siasa jiulize mara 20.
 
Lengo lenu la kumsapoti Mbowe na kuingiza RUSHWA za Abdul ni kutaka kuiua CHADEMA.
Alafu mkuu alivyo mpumbavu anajibu kirahisi sana, hivi uyu anafikiri chama bila wanachama kuna chama, au anafikili kuwa kupe wa FAM ,chama kikifa ataendelea kukinga mkono
 
Unasemaje wewe ccm ,unacheka wakati kwenu ndo mmevunja record ya Dunia namna na ya kuwapata wagombea, wenda USA siku moja ikaja kujifunza ccm
 
Msalimieni Mzee wa Ubwabwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…