Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote

Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chuki na ACT imetoka wapi mkuu, kwenda ACT au CCM unakua umekimbia nini na kukwepa nini , CHAUMA ni chama sawa kidogo ,lakini angalau Mwenyekiti wake hua anaonesha utofauti na wenyeviti wengine wa vyama vidogo .
Hili ni kweli Hashim Rungwe angalau ana msimamo sio kama sijui Dovutwa na wale wenginewengine yaani hao ni mbogamboga namba 3 baada ya ACT na CUF.
 
CHADEMA ITAZIKWA RASMI KESHO;
1. FAM haaminiki tena
2. TAL hawezi kuinganisha Chadema tena atasumbuliwa na Mbowe gang ..hivyo tutarajie chama kipya kuibuka
 
Ukisikia ujinga ndo huu why anzisha chama cha siasa wakati vipo vyama kibao, kwa sasa ukiona mtu anakimbizana kuanzisha chama cha siasa jiulize mara 20.
Sasa vilivyopo watu washaona ni vya kipigaji, huoni mtu akihamia huko atafubaa hata kama ni mwanasiasa makini?
Kwa mawazo kama hayo sasa pasingelikuwa na sababu ya watu kujenga nyumba mpya ilhali kuna nyumba chekwa zilizojengwa na wazazi wao?!

Lete sababu zenye mashiko, kama nilivyouliza awali kuna ugumu gani kuanzisha chama kipya cha siasa?
 
Back
Top Bottom