Chuki na ACT imetoka wapi mkuu, kwenda ACT au CCM unakua umekimbia nini na kukwepa nini , CHAUMA ni chama sawa kidogo ,lakini angalau Mwenyekiti wake hua anaonesha utofauti na wenyeviti wengine wa vyama vidogo .
CHADEMA ITAZIKWA RASMI KESHO;
1. FAM haaminiki tena
2. TAL hawezi kuinganisha Chadema tena atasumbuliwa na Mbowe gang ..hivyo tutarajie chama kipya kuibuka
Ukisikia ujinga ndo huu why anzisha chama cha siasa wakati vipo vyama kibao, kwa sasa ukiona mtu anakimbizana kuanzisha chama cha siasa jiulize mara 20.
Sasa vilivyopo watu washaona ni vya kipigaji, huoni mtu akihamia huko atafubaa hata kama ni mwanasiasa makini?
Kwa mawazo kama hayo sasa pasingelikuwa na sababu ya watu kujenga nyumba mpya ilhali kuna nyumba chekwa zilizojengwa na wazazi wao?!
Lete sababu zenye mashiko, kama nilivyouliza awali kuna ugumu gani kuanzisha chama kipya cha siasa?