G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Wakuu,
CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa.
Lengo ni nini hasa?
Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa.
Mfano kwa leo pale Ubungo walijazwa wanawake wanaohudumu kwenye saluni za kiume na vijana wa boda boda kuhudhuria kikao huku lengo lake kisiasa likiwa siyo kuhusu chama hicho bali ni kuhusu serikali na CCM.
Mradi huo unaambatana na ugawaji wa fedha taslimu na kwa leo tu zilitolewa TZS milioni 70 kufanikisha mkutano.
CHAUMMA kinaanza ziara na baada ya ziara hizo ufadhili utakoma rasmi maana lengo la serikali litakuwa limefanikiwa. Zitakuja risiti hapa za malipo na video za ugawaji wa fedha.......
Kuna wahariri kadhaa nao wamejumuishwa kwenye fungu la mgao na kiongozi wao ni mhariri wa gazeti la MWANANCHI. Tutaanika mawasiliano yake na madalali na jinsi wanavyopanga movie yao!