Tunausubiri kwa hamu mzigoWakuu,
CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa.
Lengo ni nini hasa?
Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa.
Mfano kwa leo pale Ubungo walijazwa wanawake wanaohudumu kwenye saluni za kiume na vijana wa boda boda kuhudhuria kikao huku lengo lake kisiasa likiwa siyo kuhusu chama hicho bali ni kuhusu serikali na CCM.
Mradi huo unaambatana na ugawaji wa fedha taslimu na kwa leo tu zilitolewa TZS milioni 70 kufanikisha mkutano.
CHAUMMA kinaanza ziara na baada ya ziara hizo ufadhili utakoma rasmi maana lengo la serikali litakuwa limefanikiwa. Zitakuja risiti hapa za malipo na video za ugawaji wa fedha.......
Naona chadema chakavu wameanza kitapatapa, mtazua Kila jambo!Wakuu,

Hizo fedha hao wahuni wa hiyo ofisi wamepiga nyingi ya zilizotoelwa kwa memo na kwenye field wanapeleka fungu dogo ambalo nalo linapigwa na mbaya zaidi mzee Rungwe naye anapigwa na wahuni waliohamia.Ni kunamakunaliano serikali kutoa billion 20..na tayari billion 5 zimetoka
Wakuu,
CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa.
Lengo ni nini hasa?
Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa.
Mfano kwa leo pale Ubungo walijazwa wanawake wanaohudumu kwenye saluni za kiume na vijana wa boda boda kuhudhuria kikao huku lengo lake kisiasa likiwa siyo kuhusu chama hicho bali ni kuhusu serikali na CCM.
Mradi huo unaambatana na ugawaji wa fedha taslimu na kwa leo tu zilitolewa TZS milioni 70 kufanikisha mkutano.
CHAUMMA kinaanza ziara na baada ya ziara hizo ufadhili utakoma rasmi maana lengo la serikali litakuwa limefanikiwa. Zitakuja risiti hapa za malipo na video za ugawaji wa fedha.......View attachment 334134
Upumbavu mtupu. Wao wakishashiba wanaona wamemaliza kila kitu.Huo ndio upambavu wa mtu mweusi, yaani nchi inayonuka umasikini namna hii lakini serikali inaamua kwenda kuteketeza mabilioni ya fedha ili kuonesha kwamba Kuna vyama vya upinzani nchini.