PreGE2025 CHAUMMA: Suala Siyo wingi wa watu bali wana hoja gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.

Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.

Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
 
Watu ndio mtaji namba moja wa chama cha siasa,sasa una hoja Huna watu,hizo chaguzi utashinda vipi
 
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.

Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.

Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzani
Hoja yao kubwa jana ilikuwa helikopta 😅
 
Mtaji wa chama chochote ni wanachama wake, sasa hata kama wana sera nzuri lakini wanahutubia watu 30 na ng'ombe wanne hizo kura watazitoa wapi ? Wingi wa watu ni ishara ya kukubalika.Nilichokiona jana pale Furahisha ni aibu kubwa, hata arusi ya kitaa tu ina watu na shamra shamra
 
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.

Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.

Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Allen kwenye siasa mtaji ni watu na si hoja maana kwa stage ya evolution level yetu in politics, issues za hoja ni za wewe na yule msomi. Vijijini ni wingi na kuadanganya kidogo......
 
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.

Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.

Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Nimemsikiliza KIGAILA. Kwakweli nikili hapa anachokizungumza anakijua mwenyewe.
Kigaila anasema mtu wao wakala akizuiwa kuingia kwenye kituo watapambana hapo hapo na mapolisi.
Kwa sheria gani!! Kigaila hasemi
 
Mtaji wa chama chochote ni wanachama wake, sasa hata kama wana sera nzuri lakini wanahutubia watu 30 na ng'ombe wanne hizo kura watazitoa wapi ? Wingi wa watu ni ishara ya kukubalika.Nilichokiona jana pale Furahisha ni aibu kubwa, hata arusi ya kitaa tu ina watu na shamra shamra
We ulikuwepo furahisha mkuu
 
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.

Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.

Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Ukitoa kuilalamikia CDM nakusisitiza kushiri uchaguzi hawana hoja nyingine mahususi
 
HOJA ya kula UBWABWA hiyo inahusu walafi wa CHAUMA ambao huo ubwabwa unaweza kugeuzwa kuwa barua ya kaki na wao wakauza nchi.
 
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.

Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.

Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Acha unafiki. Chama cha siasa bila watu hata kama kina hoja hakiwezi kufika popote. Mtaji mkuu wa chama ni watu sio hoja. Mrema hakuwa na hoja ila mwaka 1995 karibia aingie ikulu kwa sababu ya watu. Chama ni watu.
 
Mtaji mkubwa wa chama ni hoja (sera) kwanza - siyo watu!

Chama kikishakuwa na sera kabambe, hakiwezi kukosa watu.

Ndiyo maana wanaoanzisha chama siyo umma wa watu bali mtu au kikundi fulani cha watu wachache - ndipo watu wengine hujumuika kulingana na sera husika.

Ukiona chama kinakosa watu, au kinalazimisha watu wakipende, ujue sera zake zimeshachakaa - hazikubaliki kwa umma.
 
Back
Top Bottom