Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Watu ndio mtaji namba moja wa chama cha siasa,sasa una hoja Huna watu,hizo chaguzi utashinda vipiKuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Hoja yao kubwa jana ilikuwa helikopta 😅Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzani
DuhHoja yao kubwa jana ilikuwa helikopta 😅
Allen kwenye siasa mtaji ni watu na si hoja maana kwa stage ya evolution level yetu in politics, issues za hoja ni za wewe na yule msomi. Vijijini ni wingi na kuadanganya kidogo......Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Nimemsikiliza KIGAILA. Kwakweli nikili hapa anachokizungumza anakijua mwenyewe.Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
We ulikuwepo furahisha mkuuMtaji wa chama chochote ni wanachama wake, sasa hata kama wana sera nzuri lakini wanahutubia watu 30 na ng'ombe wanne hizo kura watazitoa wapi ? Wingi wa watu ni ishara ya kukubalika.Nilichokiona jana pale Furahisha ni aibu kubwa, hata arusi ya kitaa tu ina watu na shamra shamra
Ukitoa kuilalamikia CDM nakusisitiza kushiri uchaguzi hawana hoja nyingine mahususiKuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Nilipita hapo majira ya saa 11 jioni nikaona ng'ombe wanne wapo pembeni ya Jukwaa na wasikilizaji hawazidi 50 tena wengi ni watoto walikuwa wanashangaa tu.We ulikuwepo furahisha mkuu
Dah inasikitisha kweliNilipita hapo majira ya saa 11 jioni nikaona ng'ombe wanne wapo pembeni ya Jukwaa na wasikilizaji hawazidi 50 tena wengi ni watoto walikuwa wanashangaa tu.
Acha unafiki. Chama cha siasa bila watu hata kama kina hoja hakiwezi kufika popote. Mtaji mkuu wa chama ni watu sio hoja. Mrema hakuwa na hoja ila mwaka 1995 karibia aingie ikulu kwa sababu ya watu. Chama ni watu.Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Mtaji mkubwa wa chama ni hoja (sera) kwanza - siyo watu!Acha unafiki. Chama cha siasa bila watu hata kama kina hoja hakiwezi kufika popote. Mtaji mkuu wa chama ni watu sio hoja. Mrema hakuwa na hoja ila mwaka 1995 karibia aingie ikulu kwa sababu ya watu. Chama ni watu.