Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Acha kupindisha ukweli... Kipimo sahihi cha mikutano ya chama chochote ni idadi ya watu waliohudhuria, sio kwamba kila aliyehudhulia anakiunga mkono chama hko, hapana ila ujumbe unakuwa umefika.Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Kajaribu kugombea hata udiwani na sera zako bila kuwa na kundi la watu....ndo utajua hujuiMtaji mkubwa wa chama ni hoja (sera) - siyo watu!
Chama kikishakuwa na sera, hakiwezi kukosa watu.
Ukiona chama kinakosa watu, au kinalazimisha watu wakipende, ujue sera zake zimeshachakaa - hazikubaliki kwa umma.
Na ndiyo maana, wale jamaa huwa WANASOMBA WATU, hata kwa malori!Watu ndio mtaji namba moja wa chama cha siasa,sasa una hoja Huna watu,hizo chaguzi utashinda vipi
Sera ya Ubwabwa ni sera kubwa sana kwa nchi hii.CHAUMA hoja yao ni Ubwabwa,sasa sijui wewe kenge unataka kuwabadilishia hoja?
Kwani watu hao unaozungumza nao unakuwa umezaliwa nao?Kajaribu kugombea hata udiwani na sera zako bila kuwa na kundi la watu....ndo utajua hujui
Umeona eeNa ndiyo maana, wale jamaa huwa WANASOMBA WATU, hata kwa malori!
Haya baba kajaribu kugombea utajionea mwenyewe,africa siasa ni watu sera peleka ulayaKwani watu hao unaozungumza nao unakuwa umezaliwa nao?
Kabla ya kuwapata, nini kinachowavuta waje kwako kama siyo sera, msimamo, mahusiano, ubia, ushirikiano, misingi?
Mpaka mtu anakuwa na kundi la watu nyuma yake, linalomwamini, hapo lazima sera zake zinajulikana kwao.
Nimekuuliza hao watu unawafunga minyororo?Umeona ee
Haya baba kajaribu kugombea utajionea mwenyewe,africa siasa ni watu sera peleka ulaya
Hoja ya Chaumma ni ubwabwa, je katika wapya wote waliojiunga nacho kuna aliyezungumzia lishe kwa Watanzania? Ajabu wote wamezungumzia vyeo na namna wanavyojipanga kutafuta vyeo vingine katika Uchaguzi Mkuu ujao!Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Hoja yao kubwa ni kuipasua CHADEMA baada ya kula hela kutoka CCM na mama Abdul.Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Chama ni watu, na kipimo cha mkutano ni wingi wa watu.Kajaribu kugombea hata udiwani na sera zako bila kuwa na kundi la watu....ndo utajua hujui
Hata mimi nina sera za maana sana ila sina uungwaji mkono,Mtaji mkubwa wa chama ni hoja (sera) kwanza - siyo watu!
Chama kikishakuwa na sera kabambe, hakiwezi kukosa watu.
Ndiyo maana wanaoanzisha chama siyo umma wa watu bali mtu au kikundi fulani cha watu wachache - ndipo watu wengine hujumuika kulingana na sera husika.
Ukiona chama kinakosa watu, au kinalazimisha watu wakipende, ujue sera zake zimeshachakaa - hazikubaliki kwa umma.
Ukiwa na sera nzuri bila uungwaji mkono, jilaumu wewe mwenyewe kwa kushindwa kuziwasilisha kwa umma.Hata mimi nina sera za maana sana ila sina uungwaji mkono,
Usipuuze nguvu ya uungwaji mkono.
Labda njiwa wasikilizeSasa hizo hoja zitasikilizwa na nani kama si wingi wa watu?
Hapo wapo njiani kuelekea CCMAllen nawewe naye, nilijua kichwani kwako zipo, kumbe mweupe hivi? Huoni hao ni kama olivyo ng'ombe wametawanyika kutafuta malisho? Hapo wanachotaka ni nafasi za udiwani na Ubunge, hakuna cha sera wala nini. Wasipopata, utaona wanakiacha hiko chama walichokipa umaarufu wa mpito, na huo ni mkakati tu.