Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Yani issue ya watu siyo kwenye chama tu, hata ufunguwe Pub kama haina vibe la watu itakuwa ya kawaida tu hiyo.Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Ccm uko saa hizi wanapigana miguu ya shingo kugombea ubunge na Udiwani, huko ndio sahau kabisa watu wana mitandao yao huwezi kuingia leo ukatobowa.Hapo wapo njiani kuelekea CCM
Hawa wanasiasa wa mtandaoni dawa yao waambie tukutane site kwenye field ndipo wanakuja kugunduwa kumbe kujenga taasisi ni shughuri.Acha kupindisha ukweli... Kipimo sahihi cha mikutano ya chama chochote ni idadi ya watu waliohudhuria, sio kwamba kila aliyehudhulia anakiunga mkono chama hko, hapana ila ujumbe unakuwa umefika.
Hakika, na ndo maana hawataki kusikia habari ya reform, wanajua hawatapata ushindi wao wa goli la mkonoHawa wanasiasa wa mtandaoni dawa yao waambie tukutane site kwenye field ndipo wanakuja kugunduwa kumbe kujenga taasisi ni shughuri.
Halima Mdee yule akagombee Kawe nje ya Chadema muone kama atatobowa.
Jimbo liko wazi lakini ccm tayari kuna mitandao kama yote na hakuna ushindi wa mezani.
Shida ya hiki chama ni cha wanafiki hawasaidiani hata kidogo mtu akipata shida wanaenda kufungua cham kingine what the hell.Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Chama ni watu; usijidanganyeKuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Mbona ubwabwa wenyewe haujaliwa? Hata hao wachache hawajapata.Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria mikutano yao.
Jee hoja za CHAUMMA ya Sasa zina mashiko kwa watanzania na watoa hoja hizo wana maadili ya yasiyotiliwa shaka ili hoja zao ziaminike kwa watanzania?
Chama bado kipya tukipe muda.Mtaji wa chama chochote ni wanachama wake, sasa hata kama wana sera nzuri lakini wanahutubia watu 30 na ng'ombe wanne hizo kura watazitoa wapi ? Wingi wa watu ni ishara ya kukubalika.Nilichokiona jana pale Furahisha ni aibu kubwa, hata arusi ya kitaa tu ina watu na shamra shamra
Bado miezi 4 kuingia uchaguzi muda utoke wapi tena. Ishu ni kuwa hawa wahuni walijiaminisha kuwa walikuwa na uwezo wa kushusha tanga na kuapandisha tanga kama alivyfanya Marehemu Maalim Seif alivyotoka na nyomi yake ya CUF na kwenda ACT Wazalendo. Hawa kina Mrema na wenzake walikuwa desk officers pale Chadema HQ hawana uzoefu na siasa za majukwaani na ushawishi ndiyo maana wameshindwa kuondoka na nyomi, na pia ukweli kuwa wamefadhiliwa CCM nayo umewaharibia sana hakuna mpinzani mwenye akili anaweza kuwaamini na kuwafuata.Chama bado kipya tukipe muda.
Sera ni muhimu ila kuna sababu nyingi zinazofanya watu wakipende chama. Hata haiba ya kiongozi ni muhimu. Mtu kama John Mrema na lafudhi yake ya kichaga hana kabisa haiba ya kuwa kiongozi mkubwa wa chama. Lowassa alikuwa anasimama jukwaani dakika chache na kusema tu elimu! Elimu! Elimu! Ila nyomi sio la kitoto.Mtaji mkubwa wa chama ni hoja (sera) kwanza - siyo watu!
Chama kikishakuwa na sera kabambe, hakiwezi kukosa watu.
Ndiyo maana wanaoanzisha chama siyo umma wa watu bali mtu au kikundi fulani cha watu wachache - ndipo watu wengine hujumuika kulingana na sera husika.
Ukiona chama kinakosa watu, au kinalazimisha watu wakipende, ujue sera zake zimeshachakaa - hazikubaliki kwa umma.
Na ile interview ya juzi ya Mrema pale Clouds ambapo alishindwa kabisa kutoa tafsiri ya kiswahili ya No Reforms No Electinion ilimmaliza kabisa kisiasa.Sera ni muhimu ila kuna sababu nyingi zinazofanya watu wakipende chama. Hata haiba ya kiongozi ni muhimu. Mtu kama John Mrema na lafudhi yake ya kichaga hana kabisa haiba ya kuwa kiongozi mkubwa wa chama. Lowassa alikuwa anasimama jukwaani dakika chache na kusema tu elimu! Elimu! Elimu! Ila nyomi sio la kitoto.
Hata mie ndio nimeona imetajwa kwenye mitandao ya jamii! Wasife moyo, wawaombe wafafhili wao wawagawie wasanii kadhaa wapige show kabla ya kuhutubia majungu yao wataona turn up itakavyo kuwa. Hawaoni wafadhili pamoja na kuwa mikutano yao ni pumba tupu za kiwango cha juu lakini watu wanakuja ingawa show ni mwishoni ili wahorojoke kwanzaHoja yao kubwa jana ilikuwa helikopta 😅
ina afadhali zaidi kuliko fujoSasa hoja yao ni kula ubwabwa,mtanzania gani mjinga kiasi icho aje kuhudhuria wala ubwabwa.
Anaweza kuteuliwa kuwa Afisa Tarafa/DAS/DED/DCCcm uko saa hizi wanapigana miguu ya shingo kugombea ubunge na Udiwani, huko ndio sahau kabisa watu wana mitandao yao huwezi kuingia leo ukatobowa.
Huyo Msigwa akigombea Iringa mjini kura za Maoni anapigwa na Mtambazavangu mapema asubuhi tu.
safari yao ni kuelekea ccm wakaamua wapumzike kwanza chauma na baadaye waende huko.Hapo wapo njiani kuelekea CCM
Ni kama unasafiri na bus unafika stand fulani mnasimama kula kdg then safari inaendeleasafari yao ni kuelekea ccm wakaamua wapumzike kwanza chauma na baadaye waende huko.
Allen anajua sana… Shida ya waandishi ni moja tu washajua ChAUMMA kuna fungu limepelekwa hivyo wanajaribu kuandika andika ili waitiwe bahasha.Allen nawewe naye, nilijua kichwani kwako zipo, kumbe mweupe hivi? Huoni hao ni kama olivyo ng'ombe wametawanyika kutafuta malisho? Hapo wanachotaka ni nafasi za udiwani na Ubunge, hakuna cha sera wala nini. Wasipopata, utaona wanakiacha hiko chama walichokipa umaarufu wa mpito, na huo ni mkakati tu.
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.