PreGE2025 CHAUMMA: Suala Siyo wingi wa watu bali wana hoja gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
..katika mkutano wao wa Mwanza nimeona Chaumma wametumia muda mrefu kuwapondaponda Chadema.

..Chaumma wanatakiwa watengeneze identity / brand yao wenyewe, na sio kujinasibisha tu kama chama cha upinzani dhidi ya Chadema.
Hii ndiyo hoja yangu. Kupambana na CHADEMA huku wao wanataka kuonekana kama ni chama cha siasa cha upinzani dhidi ya CCM, haitawasaidia. Watafute utambulisho wao.

Ubwabwa inatosha!
 

CCM B WATANZANIA SIO WAJINGA
 

Lipumba wa zama hizi

👇
Lipumba wa zama zile pamoja na umati uliokuwa unamsikiliza
Lipumba akihutubia na chini umati uliokuwa unamsikiliza
👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…