PreGE2025 CHAUMMA wakosa kibali cha helikopta kutua Mwanza, Mikutano yakwama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii nchi sasa ni kama kila mtu ni comedian, hakuna aliye serious 🤣
Walio serious ni CHADEMA mpya pekee. Wengine wote hamna kitu. Mara maroboti, sijui yanawasaidia nini watu ambao hawana maji na mahospitalini hakuna madawa.
 
Wawe wanawasiliana na mabosi wao kwanza ili kupanga ratiba ya pamoja. Wao wanajipangia tu, hawajui pesa nyingi zimepelekwa Dodoma kwenye mkutano... Wasubiri kwanza waache kiherehere.
 
msitufanye watu wa mwanza watumbafu, tutakuja kuwapiga lukome, kwahili daraja la JPMagufuli bado mnaleta ujinga wenu? nendeni moshi huko tumbafu
 
Hata Mbowe bila Chopa hajawahi kupata nyomi

Ila Yule Tundu Lisu hata akienda kwa miguu bonge la nyomi dadeki 😂😂
kuhusu kupendwa na wananchi mkuu kwa sasa ni Lissu

pia mrema alipendwa sana mpaka watu wakawa wanalala barabarani

ila yana mwanzo,katikati na mwisho

Mbowe yeye strength yake ni uongozi wa taasisi na mtu wa mipango asieweza pitwa na yeyote kwa mbinu

hiyo kupendwa na wananchi ni kazi ya Lissu

kuongoza taasisi kwa viwango na mbinu na akili ya chess sio strengths za Lissu hata kidogo

Lissu anathrive kwenye siasa za divisions na pia taasisi hajui jinsi ya kuziendesha

wote wana strength na weaknesses zao

Mbowe anaweza tengeneza political stars waka-shine na kua bora kuliko yeye,Lissu hawezi

kwa long term,i take Mbowe over Lissu any day of the week!
 
Sio kwamba wamekosa kibali bali, upepo wa chama anzia juu shaka chini siku zote huwa Mgumu, Ni marehema mzee Seif aliweza hili maana yule mzee alikua taasisi inayotembea ,
Chauma hata akienda Mbowe hawezi kua na ushawishi ndo ataonekana tapeli atakua kama Lipumba hata Gwajima pia akienda CHAUMMA atafeli kabla hajafika Wananchi sasa hivi wameenda wanaelewa siasa za Bongo
 
Poor excuses.. Wanasoma upepo kwanza
 
Serikali imefanya mchezo wa kiini macho kwa makusudi ili kuwazuga ili kelele za chama pacha wao nacho kinazingirwa.
 
Mwanza mmetuona washamba wa kujaza uwanja wenu kushangaa hiyo helkopta. Hatujiiiii! Hivi Kigaila ni mgogo wa Dodoma?
mna wivu sana na Chaumma

and this is very good to make you all unconfortable

wananchi wataenda,nyie hamna haki miliki ya wananchi kama bidhaa!

kitawauma sana aisee

yall niggas are so emotional like women!
 
Hiyo chopa itambeba nani? Bila chopa hawezi kufika Mwanza na kwa nini asitumie ATCL? Na je chopa ni sehemu ya sera za Chaumma?
kipindi wapo chadema chopper zilikua safi ndio habari ya mjini

leo wamehamia chaumma mara ghafla chopper zimekua mavi?

yaani unasoma tu comments zenu humu inabidi mtu ucheke maana huu ni wivu wa kike to the core kabisa!

what a shame!

waacheni wafanye wanachojisikia ndugu,mengine ni mbwembwe na wivu mkubwa!
 
Chama cha Msajili na watawala hicho - watakataliwa popote waendako..gundu litawasakama balaa.

Eti chopa kupinga no Reforms -ni akili au minyoo.
mnafeli sana kudhani chaumma kipo hapa kupambana na chadema

wapo hapa kujenga chama chao na kupata chochote kwenye uchaguzi kukuza chama

nyie kama mmejijengea eti chaumma ni adui yenu then u are all mistaken

wivu wa ******* sana huu

na ni vizuri mmendelee kuumia mioyo!
 
Wawe wakweli kuwa hela aijasoma ktk akaunti viongozi wote wapo Mkutano Mkuu.
 
Sio kwamba wamekosa kibali bali, upepo wa chama anzia juu shaka chini siku zote huwa Mgumu, Ni marehema mzee Seif aliweza hili maana yule mzee alikua taasisi inayotembea ,
Yule mzee wafuasi wake walikua wana uwezo wa kuwa wanachama wa chama hata wasichokijua hata jina kikubwa tu mzee awe ni mwanachama wa hicho chama... alivyohama tu Cuf nao walihama siku hiyo hiyo... Mzee alikufa akiwa ACT wazalendo, wafuasi wake wamebaki huko huko mzee alikowaacha...
 
Wamekwepa aibu ya kukosa watu.
Watz wa leo sio wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…