The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Walivyo wajinga wanadhani siasa aggressive zinaweza watoa Kwa hapa Tanzania,siasa za hivyo wakafanye Kenya.Sana tena sana shida ya Chadema hizi vurugu sio jambo wa Tanzania wanapenda watu hawataki fujo wa Tanzania watu wakupenda raha nadhani muda muafaka wakirudi kwenye reli wakafanya siasa badala ya uanaharakati watafanikiwa kipindi pekee walifanya siasa baada ya kumchukua CCM Lowasa vs CCM walifanya siasa na walifanikiwa. Siasa za kufanya kama unagombania uhuru zimepitwa na wakati.
Hapa Tanzania ni Bora ukashieikiana na chama Tawala kufanya saisa za kistaarabu watu watakuchagua na Wala hutokuwa na uadui na ccm Wala viongozi wa Serikali.
Ukiangalia siasa za Prof.J kama ataendelea na sera na ustaarabu ni rahisi sana kushinda kuliko kuwa na mafujo kama kina Sugu.
Maeneo yote ambako Chadema wameshinda ni wale wagombea ambao ni waungwana na wanakubalika na jamii,Sasa hizo ndio siasa za Tanzania Kwa Sasa.
Unaleta vurugu na malalamiko daily ijue imekukata.
Lowasa aliwasaisia Kwa sababu hiyo hiyo hajawahi kuwa na miliki Wala kutukana lakini ndio alivunja rekodi but Kwa walivyo wajinga Wameshindwa kusoma mood ya watu.