Lete tukio moja la chadema kuuaKwani Machadema hayaui na kutake Wana ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete tukio moja la chadema kuuaKwani Machadema hayaui na kutake Wana ccm?
UWT mmefurahi balaaMachadomo yameshindwa Hadi na Chauma,yametoka kapa chapa chapa .
Kwan anaeteka watu na kuua ni upinzani au chama tawala , kwann chadema wasiteke ccmu watekane wao Kwa wao ? Je yule mgombea wa kigamboni kauliwa na chadema ? Je yule wa gomz kauliwa na chadema ?Sana tena sana shida ya Chadema hizi vurugu sio jambo wa Tanzania wanapenda watu hawataki fujo wa Tanzania watu wakupenda raha nadhani muda muafaka wakirudi kwenye reli wakafanya siasa badala ya uanaharakati watafanikiwa kipindi pekee walifanya siasa baada ya kumchukua CCM Lowasa vs CCM walifanya siasa na walifanikiwa. Siasa za kufanya kama unagombania uhuru zimepitwa na wakati.
Chadema mnaleta wahuni wasiojitambua kushindana na wazee wa CCM kama Hawa 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DC61sdHtWnu/?igsh=MTdrNmhlMmhkeXNtYw==
Mnajielewa kweli? Kuna Kijiji kimoja wao wakisema hawahitaji kampeni wanamsubiria tuu siku ya uchaguzi wakamthibitishe Mwenyekiti wao wa awali wa ccm 😂😂
Siasa za ajabu ukute wanaojazaga watu upepo ni ccm ili chadema waingie chaka..kusifiwa sifiwa sio kizuriKuna wakati nilikuwa nasikia kelele mitandaoni eti Tulia amekalia kuti kavu kwenye jimbo Sugu anasubiri kuapishwa.
Mitandao inawadanganya sana Chadema.
Chadomo wa pipoozi Chali 😂😂😂😂Njaa mbaya sn , ukute umeungiwq bando tu , unakuja kupga kelele
Muone daktari wa psychology atakusaidia una ttzo kwenye uelewa wako
Kujaza watu ni Kwa sababu ya kipya kinyemi yaani wanakuja kuwashangaa na sio kwamba hao wote ni wapiga kura wao.Siasa za ajabu ukute wanaojazaga watu upepo ni ccm ili chadema waingie chaka..kusifiwa sifiwa sio kizuri
Walienguliwa bila sababu? Rufaa si walikata,ikawaje? Mbona kwingine walienguliwa na wakarudishwa? Ulitaka kama wamekiuka utaratibu wasienguliwe?Sasa hapo cha kushangaza nini? Wagombea wa Chadema si walienguliwa?
Harafu Makala alieleza jinsi Chadema wamekuwa Wana ccm ila huwezi wasikia Hawa looser wakiongelea 😂😂Kwan anaeteka watu na kuua ni upinzani au chama tawala , kwann chadema wasiteke ccmu watekane wao Kwa wao ? Je yule mgombea wa kigamboni kauliwa na chadema ? Je yule wa gomz kauliwa na chadema ?
Hata kama mtu mjinga siez kuwa mjinga wa kiwango chako
😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂 Endeleeni kubeza Kazi za Samia Wananchi watazidi kuwaaibisha.UWT mmefurahi balaa
Nafsi ziwasute kina nani tena? 🤣🤣🤣😆Mnajikaza tu kuongea ila nafsi zinawasuta.
Sasa kama wagombea wao walienguliwa na kura kuibiwa kama inavyodaiwa, ulitegemea ushindi uende kwa nani?Mzee wa ubwawa wa Chauma Kwa mara ya kwanza amenyakua ushindi wa mgombea wake kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mtaa Jijini Mbeya.
Ikumbuke Mbeya Kwa kina Sugu ndiko Chadema wanajifanyaga ni ngome Yao lakini Wameambulia Sifuri yaani zero huku nafasi zote zikienda Kwa Tulia-CCM na Chauma 😁😁😁😁.👇👇
View attachment 3164865
My Take:
Ukiweka Wagombea wenye staha na maadili Wananchi wanakuchagua maana Viongozi wa Mitaa tunaishi wote huku huku tunatambuana sio sawa na Wabunge au Madiwani Hadi tuhadithiwe.
======
WENYEVITI WA MITAA MBEYA WABEBESHWA JUKUMU LA WATOTO WA MITAAN.
Wenyeviti wa Mitaa 181 ya Jiji la Mbeya kutoka vyama vya CCM na CHAUMA pamoja na wajumbe 905 wanaounda uongozi wa serikali za Mitaa, wameapishwa baada ya zoezi la uchaguzi kukamilika na kutangazwa kuwa washindi kwenye nafasi hizo.
Wenyeviti hao 181, kati yao 180 wanatokana na chama cha mapinduzi CCM huku mmoja kati yao akitokana na chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMA, wamehimizwa kuzitumia nafasi hizo vyema ikiwa ni pamoja na Kupambana na ongezeko la watoto wa mitaani.
Mohamed Aziz ni Katibu tawala wa Wilaya ya Mbeya, anasema Kama viongozi wa serikali za Mitaa wakishindwa kusimamia usalama kwenye Mitaa yao hakutakua na utulivu hivyo ni jukumu lao kuyasimamia hayo, huku msimamizi msaidizi wa uchaguzi Ally Nnunduma akiwataka kuchangia mawazo yao katika maendeleo ya Jiji la Mbeya.
Nae mwenyekiti pekee anayetokana na chama cha ukombozi wa Umma, (CHAUMA) Brayan Mwakalukwa kutoka mtaa wa Soko kata ya Ruanda amesema anayofuraha kubwa kushinda nafasi ya mwenyekiti kupitia Chama hicho na anaahidi kutoa ushirikiano kwa wenyeviti wenzake, Diwani wa kata Ruanda na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt Tulia Ackson.
SawaMzee wa ubwawa wa Chauma Kwa mara ya kwanza amenyakua ushindi wa mgombea wake kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mtaa Jijini Mbeya.

Na wewe Kwa akili zako za kushikiwa ulitegemea Machadema yatasema yameshindwa? Kwamba watu waliokosa Hadi wagombea na mawakala ndio wanaweza shindana na maccm wazoefu na wabobesi kala Hawa ? 👇👇Sasa kama wagombea wao walienguliwa na kura kuibiwa kama inavyodaiwa, ulitegemea ushindi uende kwa nani?
Walikuwa wanashuhudia upuuzi wanakenua si ndio? Ujinga huu kasimulie mkeo na umwambie kabisa kwamba huo huo upuuzi ila Machadema Kuna maeneo wameshinda 😆😁Kwa uchaguzi huu nasema hivi chadema wasitegemee kuchukua nchi kwa amani yani nimeshuhudia upuuzi mwingi sana aise hakuna
Narudia kusema kwa niliyoyaona kwa uchaguzi huu chadema msitegemee kuchukua nchi kwa njia ya amani.
kwa ushindi gani?? Huo ambao kura zinakutwa kwenye mabox zilishapigwa??? Au unazungumzia ushindi ambao wasimamizi ndio hao hao???? Wekeni mazingira sawa ili hata ukishinda ushinde kihalali sio kushinda kwa wizi alafu unaanza kutamba kuwa umeshinda kwa wizi????Kuna wakati nilikuwa nasikia kelele mitandaoni eti Tulia amekalia kuti kavu kwenye jimbo Sugu anasubiri kuapishwa.
Mitandao inawadanganya sana Chadema.