LGE2024 CHAUMMA yapata ushindi wa kiti 1 kati ya viti 181 Mbeya na kuwa chama pekee cha upinzani kilichopata ushindi mkoani humo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Walivyo wajinga wanadhani siasa aggressive zinaweza watoa Kwa hapa Tanzania,siasa za hivyo wakafanye Kenya.

Hapa Tanzania ni Bora ukashieikiana na chama Tawala kufanya saisa za kistaarabu watu watakuchagua na Wala hutokuwa na uadui na ccm Wala viongozi wa Serikali.

Ukiangalia siasa za Prof.J kama ataendelea na sera na ustaarabu ni rahisi sana kushinda kuliko kuwa na mafujo kama kina Sugu.

Maeneo yote ambako Chadema wameshinda ni wale wagombea ambao ni waungwana na wanakubalika na jamii,Sasa hizo ndio siasa za Tanzania Kwa Sasa.

Unaleta vurugu na malalamiko daily ijue imekukata.

Lowasa aliwasaisia Kwa sababu hiyo hiyo hajawahi kuwa na miliki Wala kutukana lakini ndio alivunja rekodi but Kwa walivyo wajinga Wameshindwa kusoma mood ya watu.
 
UlionΓ  msafara wa Mbowe pia ulimjumuisha Mh. Mdude?
HΓ wa jΓ maa wanafikiri kinyumbunyumbu tuu.
 
Una akili zako timamu unaweza kuita huu ni uchaguzi kweli??
 
Mmh! kuna watu wana nguvu kubwa sana ya ushawishi siasani, nakumbuka miaka hiyo Rungwe mashariki (Busokelo sasa). Prof. Mwandosya akiwa kwenye kampeni, wazee wanamkataza yeye kujiombea kura wanaweka alama ya tick ardhini na wanamwambia "Mwandosya umepita baba".

Basi Mh. alikuwa anaishia kuwaombea kura diwani na rais(Mzee Kikwete) na kupiga stori zingine tu na raia.

Usishindane na aliyejaliwa
 
acha ushabiki we msisiemu. Unaamini ni kweli huyo mgombea awashinde ccm, chadema na act ambao wana trend? Hiyo ni political pattern, pale unaachia kule unabana huku ukijuja utaibuka na ushindi mkubwa. Hata uchaguzi mkuu ujao mbinu hii ya kugawa ushindi kidogokidogo kwa wapinzani itatumika vema ila ushindi mkubwa itakuwa ni kwa ccm.
 
Watu wanachagua ku trend Kwa wagombea na Vyama vyenu au wanachagua mtu sahihi? Wahuni wenu wale nani anaweza kuwachagua? Huyo Jamaa wewe unamuinaje kwanza?

Baada ya kupigwa za uso visingizio buku πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mitandao inadanganya sana.Vuguvugu la wanachadema jukwaa la siasa unaweza ukadhani mitaani Chadema wametapakaa kila kona,kumbe sio bana,,,dah!.
Humu jf kuanzia wenye jukwaa na Wafuasi wengi wa humu ni wanachadema Sasa ukiwajuta wanajitapa unaweza shanj huko mtaani ukivaa hata t shirt ya CCM utaoigwa mawe 😁😁

Wanaleta siasa za kipumbavu za kutukana mitandaoni Kwa Wananchi? Wacha wapewe za uso.
 
Mods wapuuzi sana,Kwa nini mnabadilisha heading wakati my interest ilikuwa ni CHAUMA chama Cha Ubwabwa? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DDAHB-5N9Pb/?igsh=Ynh0cDZrYmVwZ2w5
 
Kuna wakati nilikuwa nasikia kelele mitandaoni eti Tulia amekalia kuti kavu kwenye jimbo Sugu anasubiri kuapishwa.

Mitandao inawadanganya sana Chadema.
uchaguz huu mpk polisi wanaua wapinzan nao unauamin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…