LGE2024 CHAUMMA yapata ushindi wa kiti 1 kati ya viti 181 Mbeya na kuwa chama pekee cha upinzani kilichopata ushindi mkoani humo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kwan anaeteka watu na kuua ni upinzani au chama tawala , kwann chadema wasiteke ccmu watekane wao Kwa wao ? Je yule mgombea wa kigamboni kauliwa na chadema ? Je yule wa gomz kauliwa na chadema ?

Hata kama mtu mjinga siez kuwa mjinga wa kiwango chako
 
Njaa mbaya sn , ukute umeungiwq bando tu , unakuja kupga kelele

Muone daktari wa psychology atakusaidia una ttzo kwenye uelewa wako
 
Siasa za ajabu ukute wanaojazaga watu upepo ni ccm ili chadema waingie chaka..kusifiwa sifiwa sio kizuri
Kujaza watu ni Kwa sababu ya kipya kinyemi yaani wanakuja kuwashangaa na sio kwamba hao wote ni wapiga kura wao.

Hawana sababu ya kwenda Kwa CCM labda waje viongozi wa Juu wa Serikali
 
Sasa hapo cha kushangaza nini? Wagombea wa Chadema si walienguliwa?
Walienguliwa bila sababu? Rufaa si walikata,ikawaje? Mbona kwingine walienguliwa na wakarudishwa? Ulitaka kama wamekiuka utaratibu wasienguliwe?

Na mwakani tunaimba mkurupuke hivyo hivyo bila maandalizi harafu muone moto πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwan anaeteka watu na kuua ni upinzani au chama tawala , kwann chadema wasiteke ccmu watekane wao Kwa wao ? Je yule mgombea wa kigamboni kauliwa na chadema ? Je yule wa gomz kauliwa na chadema ?

Hata kama mtu mjinga siez kuwa mjinga wa kiwango chako
Harafu Makala alieleza jinsi Chadema wamekuwa Wana ccm ila huwezi wasikia Hawa looser wakiongelea πŸ˜‚πŸ˜‚

Niliona wamekimbia na maboksi ya kura nimicheka karibia nipasuke πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†
 
Sasa kama wagombea wao walienguliwa na kura kuibiwa kama inavyodaiwa, ulitegemea ushindi uende kwa nani?
 
Sawa
 
Sasa kama wagombea wao walienguliwa na kura kuibiwa kama inavyodaiwa, ulitegemea ushindi uende kwa nani?
Na wewe Kwa akili zako za kushikiwa ulitegemea Machadema yatasema yameshindwa? Kwamba watu waliokosa Hadi wagombea na mawakala ndio wanaweza shindana na maccm wazoefu na wabobesi kala Hawa ? πŸ‘‡πŸ‘‡

Ambako hawakuenguliwa ilikuaje? Hujasikia wameshinda Baadhi ya maeneo? Kwa nini washinde huko ?

Mwisho Kuna uchaguzi usio na taratibu? Kama walienguliwa Kwa kuonewa Kwa nini hawakwenda kusimamisha uchaguzi mahakamani?

Tunaimba na uchaguzi wa mwakani wakurupuke tena waone moto 🀣🀣
 
Kwa uchaguzi huu nasema hivi chadema wasitegemee kuchukua nchi kwa amani yani nimeshuhudia upuuzi mwingi sana aise hakuna

Narudia kusema kwa niliyoyaona kwa uchaguzi huu chadema msitegemee kuchukua nchi kwa njia ya amani.
 
Walikuwa wanashuhudia upuuzi wanakenua si ndio? Ujinga huu kasimulie mkeo na umwambie kabisa kwamba huo huo upuuzi ila Machadema Kuna maeneo wameshinda πŸ˜†πŸ˜
 
K
Kuna wakati nilikuwa nasikia kelele mitandaoni eti Tulia amekalia kuti kavu kwenye jimbo Sugu anasubiri kuapishwa.

Mitandao inawadanganya sana Chadema.
kwa ushindi gani?? Huo ambao kura zinakutwa kwenye mabox zilishapigwa??? Au unazungumzia ushindi ambao wasimamizi ndio hao hao???? Wekeni mazingira sawa ili hata ukishinda ushinde kihalali sio kushinda kwa wizi alafu unaanza kutamba kuwa umeshinda kwa wizi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…