Amani iwe kwenu waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Katika Hali ya kustaajabisha nimekutana na Account ya Chadema ikirusha matangazo mubashara ya mkutano wa hadhara wa chama Cha CHAUMMA.
Ndugu zangu wa CHAUMMA mnapinga vipi wizi wa rasilimali za nchi wakati nyie mmeiba YouTube account ya chama lingine?😂😂
Rai yangu kwenu ni kurudisha hio account kwa wenyewe CDM ili tuamini nyinyi ni wasafi.
Pia soma
www.jamiiforums.com

Pre GE2025 - CHAUMMA yatumia akaunti ya YouTube ya CHADEMA kutangaza na kurusha mikutano yao
Amani iwe kwenu waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa! Katika Hali ya kustaajabisha nimekutana na Account ya Chadema ikirusha matangazo mubashara ya mkutano wa hadhara wa chama Cha CHAUMMA. Ndugu zangu wa CHAUMMA mnapinga vipi wizi wa rasilimali za nchi wakati nyie mmeiba YouTube account ya...