Bepari la Kinyambo
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,223
- 1,523
Njaa mbaya
Kwani ndiyo iliyolalamikiwa kuibwa na yule dalali wa kisiasa?View attachment 3354784
Chama cha Ukombozi wa Umma 9CHAUMMA) kimetumia akanuti ya Youtube ya Chadema katika uzinduzi wa mkutano wake wa C4C jijini Mwanza.
Hayo yanajiri wakati hivi karibuni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipolalamikia baadhi ya makada waliokihama chama hicho kuondoka na akaunti hiyo.
Soma hapa: Heche: John Mrema ameondoka na Youtube ya Chama
Safi sanaView attachment 3354784

Msajili kasema chadema hawana viongozi. Waliopo hawatambulikiMrema ni mtu muovu sana, itakuwa kawapora CHADEMA account.
Wala si shida ,nguo ya kuazima haisitiri mwiliView attachment 3354784
Chama cha Ukombozi wa Umma 9CHAUMMA) kimetumia akanuti ya Youtube ya Chadema katika uzinduzi wa mkutano wake wa C4C jijini Mwanza.
Hayo yanajiri wakati hivi karibuni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipolalamikia baadhi ya makada waliokihama chama hicho kuondoka na akaunti hiyo.
Soma hapa: Heche: John Mrema ameondoka na Youtube ya Chama
Mrema hawezi kuacha asili ya wiziNaona inarusha live mkutano wa chaumma, na inaisifu sana chaumma kuliko chadema
Chauma wana majibuNaona inarusha live mkutano wa chaumma, na inaisifu sana chaumma kuliko chadema
Mrema anatakiwa ashitakiwe, ameona akitumia neno CHAUMA haitapata viewersNaona inarusha live mkutano wa chaumma, na inaisifu sana chaumma kuliko chadema
Hii ndo laana ya hawa wahuni walioamia Chauma that's wanakosa watu , alafu utasikia ndo walikua think tank ya chama cha ChademaNaona inarusha live mkutano wa chaumma, na inaisifu sana chaumma kuliko chadema
Wawashitaki kabisa hawa majambazi.Kama kawaida yao, CHADEMA Media imetekwa na Mrema, sasa uongozi mpya wa CHADEMA unatakiwa uirejeshe au upige marufuku nembo za chama kutumiwa bila ruhusa.