Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,922
- 3,252
Chama cha Ukombozi wa Umma 9CHAUMMA) kimetumia akanuti ya Youtube ya Chadema katika uzinduzi wa mkutano wake wa C4C jijini Mwanza.
Hayo yanajiri wakati hivi karibuni Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche alipolalamikia baadhi ya makada waliokihama chama hicho kuondoka na akaunti hiyo.
Soma hapa: Heche: John Mrema ameondoka na Youtube ya Chama