Nashindwa kabisa kumuelewa huyu "bwashee"Mrema ni mmachame kweli?
Yawezekana mkuu, maana wanasiasa sio wa kuwaamini kabisa,,,Huku anakemea wizi na ufisadi serikalini kumbe nyuma ya pazia na yeye ni mwizi😆Mbona wote ndugu moja Watamalizana kimyakimya !!!
Wapo bize na "No reforms No election" kwanzaUongozi wa chadema unafanya nini kurudisha mali na vitu vyake?, anayeimiliki au waliokuwa wqnahusika kuiendesha hawajulikani?. Huu nao utakuwa utoto yaani viongozi mpaka leo hawajajua watumie njia zipi kupata hii online chanel ya chama?.
Huo ni utoto unawezaje kutangaza NRNE wakati huna vyanzo vya habari vitakavyohabarisha unachopigania?. Hapa naona kuna utoto kwa viongozi, kwani sio chanzo cha mapato cha chama?, nani anakimiliki? Kama sio chanell ya chama ibadilishwe jina na chama wadai haki za matumizi ya jina la chama bila idhini?.Wapo bize na "No reforms No election" kwanza
Sahihi kabisaHuo ni utoto unawezaje kutangaza NRNE wakati huna vyanzo vya habari vitakavyohabarisha unachopigania?. Hapa naona kuna utoto kwa viongozi, kwani sio chanzo cha mapato cha chama?, nani anakimiliki? Kama sio chanell ya chama ibadilishwe jina na chama wadai haki za matumizi ya jina la chama bila idhini?.
Inawezekanaje channell irushe mambo ya CHAUMA?.
Kwani ni Mali ya "Mwamba" au CDM mkuu? Kwanini akina MREMA wakimbie nayo?Mwamba kawapa
Hawa watu hawana hata aibu. Hata credibility ya hiki chama cha chaumma inakuwa mashakani kama inaweza kupora Id ya wengine na bado wanajiita chaummaAmani iwe kwenu waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Katika Hali ya kustaajabisha nimekutana na Account ya Chadema ikirusha matangazo mubashara ya mkutano wa hadhara wa chama Cha CHAUMMA.
Ndugu zangu wa CHAUMMA mnapinga vipi wizi wa rasilimali za nchi wakati nyie mmeiba YouTube account ya chama lingine?😂😂
Rai yangu kwenu ni kurudisha hio account kwa wenyewe CDM ili tuamini nyinyi ni wasafi.
Kwani ni Mali ya "Mwamba" au CDM mkuu? Kwanini akina MREMA wakimbie nayo?
Hakika mkuu. Kama vya wengine wanapora mchana kweupe bila aibu rasilimali za nchi wataacha kuiba?Hawa watu hawana hata aibu. Hata credibility ya hiki chama vha chaumma inakuwa mashakani kama inaweza kupora Id ya wengine na bado wanajiita chaumma
😆Mwamba ndo alikua kila kitu pale. Lissu kabla ya kumkurupua samia alitakiwa akurupue masalio ya mwamba sema ndo vile hakutaka ufa mkubwa ndani ya chama. Mwisho wa siku akina mrema wamekimbia na mali za chama