Well fuk me 🤣🤣🤣🤣🤣🤣This is satanic
So ni kweli mrema alisepa na access 🤣🤣🤣🤣Naona inarusha live mkutano wa chaumma, na inaisifu sana chaumma kuliko chadema
Aliye kuwa mkurugenzi wa habari JOHN MREMA alipo hama aliondoka na password .Kuna tatizo hapo, CHAUMMA wanapataje access ya account isiyo Yao?
Si waihack chadema? Au watupu kichwani chadema ktk technology?Aliye kuwa mkurugenzi wa habari JOHN MREMA alipo hama aliondoka na password .
Ni suala la muda tuAliye kuwa mkurugenzi wa habari JOHN MREMA alipo hama aliondoka na password .