Mi nadhan pia kuna tatzo Chadema ni Taasisi kwa hiyo ilipaswa kuwa na ma IT wa chama ambao wanashughulikia mambo kama hayo ya kiteknolojia... ambao sio wanachama wa Chadema bali waajiliwa tu sasa ndio shida ya kuendesha Taasisi kama familia.. lakini pia siamini kwamba Chadema hawajui namna ya kureport account
Uongozi wa chadema unafanya nini kurudisha mali na vitu vyake?, anayeimiliki au waliokuwa wqnahusika kuiendesha hawajulikani?. Huu nao utakuwa utoto yaani viongozi mpaka leo hawajajua watumie njia zipi kupata hii online chanel ya chama?.
Ni kweli kabisa sasa wanapokuwa wanalalamika kwenye vyombo vya habari wanamaanisha nini kwamba wananchi ndio wakawakamatie hilo jizi lenye kipara bila busara?
Na mpk alikuwa anajinufaisha nayo wao walikuwa hawajui hilo kwasababu credentials zote ikiwa ni acc ya chma alazima ziwe kwenye files na kila kinachopanda kwa umma lazima uongozi uwe umebariki