Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana.
PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila Tukio.
CHADEMA inawapongeza sana kwa hatua hiyo ya Kutangaza ZIARA za Viingozi Wake na kuacha KUTANGAZA Ziara ya KATIBU MKUU wa CCM.