Chawa wa CCM wanaitangaza ziara ya Tundu Lissu badala ya Katibu Mkuu wa CCM

Chawa wa CCM wanaitangaza ziara ya Tundu Lissu badala ya Katibu Mkuu wa CCM

Tunawashukuru sana mabalozi wetu wa Chadema kwa jitihada zenu zinazowezesha Wafadhili kutupa fedha za kutosha kufanya miradi mikubwa kutokana na kelele na mbwembwe zenu
 
Jamaa utadhani wanalipwa
Mwenyekiti wako mwenyewe kaunga juhudi za Team CHAWA halafu unauliza kama anaridhiana bure!

Bavicha mnafeli sana huyo Mnyika alianzia bavicha leo ana daladala zaidi ya 100

Usilale Usingizi bwashee Siasa ni Biashara kama Biashara ya mbege tu!
 
Nimeripoti mkutano mkubwa wa Chongolo Mlimba

Nimeripoti mkutano mkubwa wa CCM Viwanja vya Furahisha

Kwa kweli utakuwa kina Chongolo na CCM umewachoka. Chongolo Mlimba na CCM Furahisha si wiki kabisa hiyo? 🤣🤣

Kwani kuhusu Lissu na Chadema umeandika nyuzi ngapi baada ya Hapo au hata wa mwisho ilikuwa lini?
 
Kwa kweli utakuwa kina Chongolo na CCM umewachoka. Chongolo Mlimba na CCM Furahisha si wiki kabisa hiyo? 🤣🤣

Kwani kuhusu Lissu na Chadema umeandika nyuzi ngapi baada ya Hapo au hata wa mwisho ilikuwa lini?
Kuripoti mkutano wa Lisu ambao Mbowe anahutubia ni kuripoti mkutano wa CCM

Mbowe: Wanachama wenzangu wa CCM
 
Mie sio CHAWA wa yeyoye. Na sitaki kukuvunjia heshima maana kwa uzoefu wangu hapa jukwaani nadhani wewe utakuwa umenizidi umri na huenda na mambo mengine mengi pia. Ila najaribu tu kuwa objective kidogo. Nadhani hapa usahihi ni kulinganisha media zenye usawa au zinazokaribiana kuwa sawa. Nimeona the Chanzo TV wana Subscribers 4.14K, while Jambo TV wana Subscribers 822K (Hii ni karibia mara 200, ya wale wa The Chanzo TV)Kwahiyo kufanya comparison kati ya Katibu wa CCM na Lissu kwa muktadha wa kutumia hizo media mbili nadhani inaweza isiwe sawa sana.

On the other hand, kwa uzoefu wangu, sipingani na ukweli kuwa CHADEMA wana mashabiki wengi mitandaoni kuliko CCM. Sababu zinazopelekea hali hii, pamoja na mambo mengine, kwa kuhusianisha na UTAFITI uliowahi kufanywa na TWAWEZA huko nyuma, CHADEMA inaungwa mkono zaidi na vijana na watu wasomi ambao wengi wao ni watumiaji wa mitandao. Naomba kuishia hapa kwa sasa.!
 
Wewe unadhani Bila malipo Tundu Lisu angeacha Biashara yake ya Vitabu UN?

CCM inalipa bwashee

Karibu

Kwa hiyo kwa vipesa kidogo mnainamishwa migongo, watu wanapanda juu? 🤣🤣

IMG_20230206_101806.jpg
 
Lisu ana mgongo wa kuinamishwa?

Jaribu kuwa na adabu kwa viongozi wako wanaorambishwa asali!

Yale siyo maneno yangu mjomba. Hiyo ni nukuu tokea Kwa Mama kuja kwenu. Migongo tajwa pale ni yenu!

Ninakazia:

IMG_20230206_101806.jpg


Mnenaji na walengwa wote wako pichani. Nawe unaoonekana pale.
 
Back
Top Bottom