Yaani Chongolo wamemsahau kabisaaaa , alafu na sisi chadema tuna dhambi aisee, mbona hatuwasaidiii kutangaza ziara zao??! [emoji12][emoji12] Kwanza chadema wala hatuna habari na makocho kocho ya ccm, hii ni dhambi kubwa kwetu [emoji39][emoji39][emoji39]Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana.
PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila Tukio.
CHADEMA inawapongeza sana kwa hatua hiyo ya Kutangaza ZIARA za Viingozi Wake na kuacha KUTANGAZA Ziara ya KATIBU MKUU wa CCM.
Angalia hapa, nimeishia kucheka tuKwani chongolo yupo ziarani kwelI mbona hatujui
Wako makini mno.Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana.
PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila Tukio.
CHADEMA inawapongeza sana kwa hatua hiyo ya Kutangaza ZIARA za Viingozi Wake na kuacha KUTANGAZA Ziara ya KATIBU MKUU wa CCM.
Ngoja na mie nicheke hata Mwananchi Online hawaja tune huko wa Chongolo?Angalia hapa, nimeishia kucheka tuView attachment 2507814View attachment 2507815
Alikuwa Morogoro na BasheKwani chongolo yupo ziarani kwelI mbona hatujui
Cocochanel akikubali mimi ni nani niwapinge?Ukweli unauma ila ujumbe uwafikie.. πππ
Wacha wafu wazikane.Yaani Chongolo wamemsahau kabisaaaa , alafu na sisi chadema tuna dhambi aisee, mbona hatuwasaidiii kutangaza ziara zao??! [emoji12][emoji12] Kwanza chadema wala hatuna habari na makocho kocho ya ccm, hii ni dhambi kubwa kwetu [emoji39][emoji39][emoji39]
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Ritz njoo hukuNgoja na mie nicheke hata Mwananchi Online hawaja tune huko wa Chongolo?
Ni muda wao kusubiri,miaka saba wana zurura kila kichochoro,kujitembeza na kuwapiga mahasimu wao marufuku kwanza walishajichokea bora wapumzike kwa kuipigia debe Chadema,chama pendwa cha watanzania π€Yaani Chongolo wamemsahau kabisaaaa , alafu na sisi chadema tuna dhambi aisee, mbona hatuwasaidiii kutangaza ziara zao??! [emoji12][emoji12] Kwanza chadema wala hatuna habari na makocho kocho ya ccm, hii ni dhambi kubwa kwetu [emoji39][emoji39][emoji39]
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Sisi tuna BandoNa wameifanya kazi hiyo kwa uaminifu mkubwa sana
Siasa sio uadui? Hiyo imani mmeanza lini?Sisi tuna Bando
Sisi siyo wachoyo
Siasa siyo uadui
Hiyo ya "siasa sio uadui" ni kwako tu johnthebaptist ,chama cha mambuzi hawana hilo.Sisi tuna Bando
Sisi siyo wachoyo
Siasa siyo uadui