johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaha....... unajua sikusoma Hiyo ya mama halafu nikashangaa maana Wewe siyo wa lugha zile tulizomaanisha!Yale siyo maneno yangu mjomba. Hiyo ni nukuu tokea Kwa Mama kuja kwenu. Migongo tajwa pale no yenu!
Ninakazia:
View attachment 2508107
Hahaha....... unajua sikusoma Hiyo ya mama halafu nikashangaa maana Wewe siyo wa lugha zile tulizomaanisha!
Kwa hiyo unalipwa?Mwenyekiti wako mwenyewe kaunga juhudi za Team CHAWA halafu unauliza kama anaridhiana bure!
Bavicha mnafeli sana huyo Mnyika alianzia bavicha leo ana daladala zaidi ya 100
Usilale Usingizi bwashee Siasa ni Biashara kama Biashara ya mbege tu!
Kulipwa ni dhambi?Kwa hiyo unalipwa?
Usijali kuhusu kunivunjia heshima, tunajenga. Okay, vipi Hawa nao kwenye picha ni WA kwenye mitandao? ShukraniOn the other hand, kwa uzoefu wangu, sipingani na ukweli kuwa CHADEMA wana mashabiki wengi mitandaoni kuliko CCM. Sababu zinazopelekea hali hii, pamoja na mambo mengine, kwa kuhusianisha na UTAFITI uliowahi kufanywa na TWAWEZA huko nyuma, CHADEMA inaungwa mkono zaidi na vijana na watu wasomi ambao wengi wao ni watumiaji wa mitandao. Naomba kuishia hapa kwa
Ahsante kwa taarifa hii muhimu. Na pia, kusema kwangu CHADEMA wana mashabiki wengi mitandaoni sikumaanisha pia kuwa hawana mashabiki huko mitaani, kwenye ground. Nilitaka tu kusema kwenye mitandao karibu yote, inaonesha CHADEMA ina wapenzi wengi zaidi kuliko CCM.Usijali kuhusu kunivunjia heshima, tunajenga. Okay, vipi Hawa nao kwenye picha ni WA kwenye mitandao? ShukraniView attachment 2508163
Barikiwa Senior CounselorUwe na siku njema, Senior. Heshima kwako
AiseeeeAngalia hapa, nimeishia kucheka tuView attachment 2507814View attachment 2507815
Elli acha masikhara mkuu au ume-edit mzee baba [emoji1787][emoji1787]Angalia hapa, nimeishia kucheka tuView attachment 2507814View attachment 2507815
@Heart Wood. Nimependa argument yako, naiona busara ndani yake kila la kheri mkuu.Ahsante kwa taarifa hii muhimu. Na pia, kusema kwangu CHADEMA wana mashabiki wengi mitandaoni sikumaanisha pia kuwa hawana mashabiki huko mitaani, kwenye ground. Nilitaka tu kusema kwenye mitandao karibu yote, inaonesha CHADEMA ina wapenzi wengi zaidi kuliko CCM.
Ushahidi mzuri ni hapa JF. Kipimo kimojawapo ni ule ushindani wa Juzi kumpata Mwanachama Bora wa mwaka 2022 kati ya Erythrocyte (Kada wa CHADEMA) na Pascal Mayalla (kada wa CCM). Pamoja na ukongwe alionao Pascal, bado ilishindwa na Erythrocyte. Hii inadhihirisha kuwa JF ina wapenzi wengi wa CHADEMA kuliko CCM.
Uwe na siku njema, Senior. Heshima kwako Mkuu.
umekuwa mpooole now... ndo uzee umikuzidia auUkweli unauma ila ujumbe uwafikie.. πππ
YAANI wapinzani ni watujasiri sana yaani wanajipaga moyo kwa vitu vya kufikirika sana, yaani unamshangaa mtu ambaye yuk na sahani anakula wewe unajipa moyo kuwa iposiku na wewe utakula ? kuwa mpinzani lazima uwe na upungufu kidogo wa akiliAngalia hapa, nimeishia kucheka tuView attachment 2507814View attachment 2507815
SAWA, I don't argue with idiots!YAANI wapinzani ni watujasiri sana yaani wanajipaga moyo kwa vitu vya kufikirika sana, yaani unamshangaa mtu ambaye yuk na sahani anakula wewe unajipa moyo kuwa iposiku na wewe utakula ? kuwa mpinzani lazima uwe na upungufu kidogo wa akili
umekuwa mpooole now... ndo uzee umikuzidia au
π π π πππnimekumiss my bibi jamani asante kwa BUSUAcha kunichokonoa mimi.. yes kunichokonoa.. nimefurahi kusoma tena.. umefufuka wako huyo mfalme karudi. πππ Pokea busu hizo