Chawa wa mama: Namshukuru mama Samia kwa tope la Hanang

Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......"
Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka.

Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na kuchukua picha zake.

Mwananchi mmoja aliposogezewa microphone na media alisikika akimshukuru sana rais Magufuli kwa tukio lile. Watu wakabakia midomo wazi kwa mshangao.

Leo huko Hanang mwancnhi mmoja baada ya kupokea msaada wa godoro amesikika akimshukuru mama Samia kwa tope lililotokea nakupelekea watu/makampuni/serikali kutoa misaada mbalimbali huko.

N.B . Siyo kila sifa ni sifa.
Noma sana !
 
Ila ndugu zanguni watanzania wenzetu wapo katika janga kubwa hivyo wanahitaji faraja zetu ni hayo tu!!!!!
 
Kuwa chawa ni lazima ujizime data, ujitoe akilj kwanza
Ķwa kweli kujiondoa akili kabisa, ubakie kichwa kitupu kabisa, ujifanye mwehu kabisa, kama anavyofanya Lucas Mwashamba, kunahitaji ujasiri wa ajabu. Ni sawa na mtu uambiwe, siku wanapocheza simba na Yanga, kabla ya mechi, wewe uende katikati ya uwanja uvue nguo zote usalie kama ulivyozaliwa! Siyo jambo rahisi, lakini kuna watu ni majasiri hasa. Fikiria mtu kama Lucas anatumia jina lake halisi, anaweka na namba yake, halafu toka mwanzo mpaka mwisho, anaandika upuuzi mtupu!!!
 
Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......"
Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka.

Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na kuchukua picha zake.

Mwananchi mmoja aliposogezewa microphone na media alisikika akimshukuru sana rais Magufuli kwa tukio lile. Watu wakabakia midomo wazi kwa mshangao.

Leo huko Hanang mwancnhi mmoja baada ya kupokea msaada wa godoro amesikika akimshukuru mama Samia kwa tope lililotokea nakupelekea watu/makampuni/serikali kutoa misaada mbalimbali huko.

N.B . Siyo kila sifa ni sifa.
Chadema ummewasaidiaje wahanga wa Hanang?
 
Kuweka record sawa, suala la kupatwa kwa jua 2016 liliangaliwa kimataifa wilaya ya Mbarali, mkoa wa Mbeya.
 
Tatizo siyo CCM wala chama chochote, tunahitaji wananchi wenye uelewa, yaani matajiri wa fikra.
Wananchi wengi wakiwa wenye akili nzuri, utawala utakuwa mzuri, umasikini utapungua kama siyo kuondoka baada ya muda na Tanzania itakuwa mahali pazuri pa kuishi.
Changamoto kubwa ni kwamba ujinga, upumbavu au kujitoa ufahamu inaelekea kuwa msingi wa siasa na hasa katika kutafuta kuchaguliwa au teuzi.
Tunatakiwa kujenga utamaduni wa kuona kwamba matumizi ya akili vizuri, kutenda na kuongea vitu venye mantiki na weledi ndiyo sifa ya msingi ya kuchaguliwa au kuteuliwa. Hivyo ndivyo tutakakavyojenga jamii na taifa imara
Too late for now !
Watu wameshajenga fikra kwamba pesa ndio msingi wa maendeleo !

Sisi zamani enzi za Mwalimu tulijengwa kuamini kwamba KAZI ndio msingi wa maendeleo !!

Kwa sasa watu wameshajiaminisha pesa ndio mpango mzima no matter utaipataje kihalali au kiharamu !!
So sad !!
 
Back
Top Bottom