Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

Wewe unayepinga ndiye unatakiwa ulete ushahidi unaopindua nilichoandika. Acha ubishi wa kwenye vijiwe vya kahawa......kule kwenye vijiwe hata kama huna hoja ilmradi unapayuka sana watu watadhani wewe ndiye mwenye hoja kumbe hamna kitu!
Sasa huoni kuwa wewe ndio umekosa hoja na kuchekesha hapa ? Hizo issue za sk kutoka bbc kwaajili ya kuja kupewa teuzi ni rumours tu na story zenu za vijiweni, nimekupa nafasi thibitisha uhakika wa hizo ahadi alizopewa umaebaki unapuyanga tu, wahead! Thibitisha hizo ahadi alipewa wapi, lini na nani. Vinginevyo uache kulisha watu matango pori hapa kwa kujifanya wajuvi wa mambo kwa story zenu za kuokoteza vijiweni huko.
 

Kwani huyo kikeke hakujifunza kwa yaliyompata mtangulizi wake.au ndo kudhani kwamba madhira yaliyompata fulani mimi hayawezi kunipata?
Hapa kuna funzo.
 
Kama aliwahi kuwaharibia akiwa huko basi wamelipa kisasi.. CCM wana tabia ya kulea kisasi hawasahau na hawajui kusamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu. Serikali wana ushetani fulani hivi ambao hauna tija. Hebu soma walichomfanyia huyu jamaa baada ya kukataa nafasi ya kuteuliwa kuwa DC. Serikali sio watu wazuri:
 
Unaongea kama umelewa mapombe machafu asubuhi asubuhi au unanyonyeshwa tango mdomoni!

Wewe ni nani alikupa hizo taarifa kwamba Serikali ndo ilimfanya aache kazi BBC arudi bongo kwamba wana kazi wamemuandalia ya usemaji wa serikali akifika wampe?!

Haya huo mkeka uliondaliwa wa uteuzi wa nafasi mbalimbali za watu ni wewe ndo ulitumwa uuandike au ulikuwepo kipindi Rais anateua na wanajadiliana kuteua?!

Mipango ya serikali huwa haitabiriki, wacha kuropoka na ujuaji wa KISENGE!

HAKUNA MAHUSIANO YOYOTE YA KUACHA KAZI KWA KIKEKE NA TEUZI ZA SERIKALI. WASIFU WA MTU NDO UTAKAOMPA DARAJA KUTOKA SEHEMU MOJA KWENDA NYINGINE.

SERIKALI INASIKITIKA SANA KUONA NI NAMNA GANI NCHI INAZIDIWA NA WAJINGA NA WAPUMBAVU SIKU HADI SIKU, ETI WATU KIBAO WALIKUWA WANAMPONGEZA KIKEKE KWA TEUZI IJAYO 😂😂😂

MPAKA WAO WENYEWE WAKAWA DISSAPOINTED WANAJIULIZA "INA MAANA MAGONJWA YA AKILI NDO YAMEKUWA SERIOUS NA KUFIKA MBALI KIASI HIKI?! 😳🤯🤔🤔🤔"

MIPANGO YA SERIKALI HUWA HAITABIRIKI NA WALA HAKUNA ALIYETAKA KUMTEUA HUYO KIKEKE WALA ALIYEMUHARIBIA!

WACHA KUROPOKA HOVYO
 
kakakaa miaka 20 BBC akipiga kazi halafu unadai katolewa kwa sababu ya elimu?

hivi unajua kuwa Salim Kikeke ndio Mtanzania wa kwanza kuruhusiwa kutangaza BBC idhaa ya Kiingereza ? wengine wote hadi Tido waliishia kutangaza idhaa ya kiswahili
Kumbe Kiingereza ni elimu? Nilidhani ni lugha tu. Alitangaza BBC ipi hiyo ambayo kawa Mtanzania wa kwanza! Unajua ni mabadiliko gani yamefanyika ndani ya BBC mpaka huyu SK kashindwa na Mkenya akaamua kukimbilia nyumbani? Mauldi Kitenge ana miaka mingapi anatangaza je unadhani ana elimu ya kutangaza ama kwa kuwa anajua kiswahili. Chalzi Hilary amekaa sana Uingereza na Ujerumani unajua kipi kilimtoa, je unajua kama Liongo nae alifukuzwa DW kwa kisa gani tena alitimuliwa kwenye vibaraza vya DW. Wabongo wakiwa nje wanalewa sifa kusoma hawataki tofauti na wakenya na Wapemba. SK kimemtoa BBC ni shule.
 
nimecheka hadi machozi😆😆
 
Wewe utakuwa na tatizo la afya ya akili sio bure. Wahi hospitali upewe tiba ya kuondoa stress za maisha zinazokukabili. Huwezi kujenga hoja bila kutukana?
HAHAHA!... POLE SANA! TATIZO LA AFYA YA AKILI UNALO WEWE ASUBUHI ASUBUHI UNAKURUPUKA KUANDIKA UNAYOHISI NA KUSIKIA KWA WAPUMBAVU WENZIO, LAKINI HUYAJUI WALA HUNA UHAKIKA NAYO...

WASENGEWASENGE wa aina yako mnaodhihirisha ujinga sugu dawa yenu ni matusi... maana hamuelezeki kawaida wala hamfundishiki!
 
Hizo story na vetting zenu zisizo na viwango kwenye hiyo nafasi ziliwahi kugusa elimu ya Kikeke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…